Wakili Mahinyila: Nilihojiwa kwa kufanya fujo mahakamani, "hiki ni kituko"

Wakili Mahinyila: Nilihojiwa kwa kufanya fujo mahakamani, "hiki ni kituko"

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Huyu bwana mdogo alifanyiwa fujo sana, halafu ni moja ya wakili na hakuwa pale mahakamani kwa bahati mbaya!

Tunasafari ndefu sana ya kufika tunapopataka kama nchi
==============
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Wakili Deogratias Mahinyila akiwaleza wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Septemba 16.2025 kuhusiana na kadhia iliyotokea Mahakamani hapo Septemba 15.2025 kati yake na wafuasi wengine wa CHADEMA dhidi ya maafisa wa Jeshi la Polisi

Ikimbukwe kuwa, kadhia hiyo ilipelekea Wakili Mahinyila na Maka wengine wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi, kisha kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati (Central Police) Dar es Salaam, kabla ya kuachiliwa kwa dhamana baadaye siku hiyohiyo, huku akitakiwa kuripoti kituoni hapo leo.

 
YOUNG LAWYERS FORUM 2025 Theme: “Digital Democracy Defenders: Young Lawyers, Technology, and the Rule of Law in Tanzania’s 2025 Elections.”

YOUNG LAWYERS FORUM 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=5HJJM4xRS-I
YOUNG LAWYERS FORUM 2025 is here! Theme: “Digital Democracy Defenders: Young Lawyers, Technology, and the Rule of Law in Tanzania’s 2025 Elections.” Friday, 19th September 2025 Wakili House, Dar es Salaam | Join top minds and young voices as we explore the role of lawyers and technology in shaping Tanzania’s democracy.

1758287312478.jpeg
 
Back
Top Bottom