Duu kutoka kuwa wakili wa Tanesco na Tanzanite one, hadi kupora wajane ipo shida, kweli hela zimekuwa ngumu.Mjane anayetapeliwa na Maro na PASTOR. mama kahangi picha yake.View attachment 1032502
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba za gari zilizotaka kumteka mama kahangiJana usiku 25/02 2019 walikuja Dar mwakilishi wa Maro PASTOR Mkee wa Rutta na Rutta mtoto wa mama juliana kahangi wakiwa na gari Noah walitaka kumteka mama kama sio polisi kuwa hii ilikuwa wamteke gari yenyewe picha yake hii hapa.View attachment 1032556View attachment 1032558
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeMIMI RUTA KAHANGI MMOJA WA WANAFAMILIA WANAOTAJWA KUTAPELIWA NYUMBA. NAPENDA KUWATANGAZIA UMA KUWA NYUMBA YA MAMA JULIE KAHANGI HAIJATAPELIWA NA YEYOTE.
MCHUNGAJI WA SILOAM ARUSHA HAJAUSIKA NA UTAPELI WOWOTE HUU ULIOTAJWA HAUU.
ATAKAEENDELEA KUCHAFUA JINA LA MCHUNGAJI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA NA SERIKALI.
MIMI RUTA KAHANGI MMOJA WA WANAFAMILIA WANAOTAJWA KUTAPELIWA NYUMBA. NAPENDA KUWATANGAZIA UMA KUWA NYUMBA YA MAMA JULIE KAHANGI HAIJATAPELIWA NA YEYOTE.
MCHUNGAJI WA SILOAM ARUSHA HAJAUSIKA NA UTAPELI WOWOTE HUU ULIOTAJWA HAUU.
ATAKAEENDELEA KUCHAFUA JINA LA MCHUNGAJI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA NA SERIKALI.
MOMBASA NI SEHEMU YA ZANZIBAR ILIYOPOKWA KIMAGUMASHINyie watu wa arusha mnapenda sana kudhulumiana, bora mkoa wa arusha tuwape wakenya na sisi watupe mkoa wa mombasa, mombasa hata kiswahili chao ni cha kitanzania nyie arusha kiswahili chenu ni cha kikenya kabisa
Kama mchungaji hajatapeli inakuwaje awe na hati ya hiyo nyumba?na niwewe Ruta uliyempelekea.Hivi Ruta una habari hao watoto mkeo aliomkuta nao niwa Mchungaji?sisi tupo hapa kwenye hii nyumba tunamuona mchungaji anavyolala na mkeo wewe unadanganywa anamfanyia maombi,unalala chumba kingine.Kuwa muuwazi sema na unavyopigwa na huyu mkee wenu na mchungaji.MIMI RUTA KAHANGI MMOJA WA WANAFAMILIA WANAOTAJWA KUTAPELIWA NYUMBA. NAPENDA KUWATANGAZIA UMA KUWA NYUMBA YA MAMA JULIE KAHANGI HAIJATAPELIWA NA YEYOTE.
MCHUNGAJI WA SILOAM ARUSHA HAJAUSIKA NA UTAPELI WOWOTE HUU ULIOTAJWA HAUU.
ATAKAEENDELEA KUCHAFUA JINA LA MCHUNGAJI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA NA SERIKALI.
Kama mchungaji hajatapeli inakuwaje awe na hati ya hiyo nyumba?na niwewe Ruta uliyempelekea.Hivi Ruta una habari hao watoto mkeo aliomkuta nao niwa Mchungaji?sisi tupo hapa kwenye hii nyumba tunamuona mchungaji anavyolala na mkeo wewe unadanganywa anamfanyia maombi,unalala chumba kingine.Kuwa muuwazi sema na unavyopigwa na huyu mkee wenu na mchungaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ushenzi gani MkuuMawakili ndomana wengi wanafanyiwaga ushnz kutokana na tamaaa zao
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Anashangaza sana familia imesema nyumba haiuzwi. kampelekea PASTOR hati wameenda kwa Maro Advocaat wamtoa account za Maro PASTOR na za dalali gody na mkee wake na PASTOR kwa bajuta awalipeHahaaa huyu ruta ni bofoya yani anatafuniwa mke plus kuendelea kua boya,huyo mama aende kutoa ripoti police kua hati zake zimeibiwa.pia watoto wake wengine wako wapi
Sent using Jamii Forums mobile app