Wakili Kibatala ahoji mamlaka ya Waziri Mwakyembe kuifuta Tanganyika Law Society(TLS)

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
Wakili Peter Kibatala ametoa kauli kuhoji mamlaka ya Dk Harrison Mwakyembe Waziri wa Sheria na Katiba kuhusu nia ya kufuta Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS)

Mwakyembe amwnukuliwa na vyombo vya habari jioni hii kuwa ataifuta TLS sababu imeanza kuingiliwa kisiasa. Na kushauri iende kwa msajili wa vyama vya siasa ili isajiliwe kama chama siasa.

Kibatala anasema:

Kauli ya Waziri Mwakyembe kwamba Serikali haitasita kuifuta TLS inajibiwa kwa hoja nyepesi sana; nini kimemstua? Mbona hakuongea pale Judge Mkuu Mstaafu alipochukua forms za kugombea Urais kupitia CCM? Alihoji ni lini Judge Agustino Ramadhani alichukua membership card ya CCM? Au kwa Waziri Mwakyembe ni sawa tu kwa Marais wa zamani TLS kugombea Ubunge kupitia CCM muda mfupi baada ya kuachia nafasi;na ku-create kila impression kwamba alikuwa CCM card-carrying member?

Waziri Mwakyembe anafikiri Mawakili (taaluma ambayo yeye amejipumzisha nayo kwa muda na halipii ada full kwa kuwa ni non-practising member) hawana utashi wa kutosha kutofatisha kati ya itikadi za siasa na msingi wa TLS? Mawakili zaidi ya 5000 wanaweza kuwa wajinga kiasi cha kurubuniwa na itikadi au harakati za kisiasa za vyama?

Alikuwa wapi yeye kama Wakili (japo ambaye ni non-practising) kutetea tulipotishiwa kuunganishwa katika case iwapo tutatea wateja wetu? Alikuwa wapi kukemea Polisi walipokamata Mawakili wenzake wakiwa kazini?

Waziri Mwakyembe anafikiri ni rahisi kiasi hicho kuifuta TLS kwa kuwa tu yeye ni Waziri? Hafahamu kuna Mahakama ambazo yeye hazi-control na kuna tools kama Judicial Review, etc?

Alikuwa wapi kuzungumzia maafisa wa Polisi waliostaafu na punde tu wakagombea Ubunge kupitia CCM? Tena hawa walikuwa ni Mawakili na wanachama wa TLS. Mbona hakuzungumzia neutrality ya Jeshi la Police?

Vipi kuhusu Mwanajeshi alyeteuliwa nafasi ya juu CCM?

Watuache TLS tuchague viongozi wetu ili tutimize majukumu yetu ya kisheria.
 
huyu waziri hajitambui, ndo sababu ata kwenye mchakato wa katiba mpya alisahau kama aliandika chapisho la umuhimu wa serikali tatu!
swali lengine naongeza, Mwakyembe hajui kama kuna wabunge wa viti maalumu tena wa CCM wanaotokana na vyama vya wafanyakazi? basi serikali ingevifuta hivyo vyama vya wafanyakazi.
 
Wakili Peter Kibatala ametoa kauli kuhoji mamlaka ya Dk Harrison Mwakyembe Waziri wa Sheria na Katiba kuhusu nia ya kufuta Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS)

Mwakyembe amwnukuliwa na vyombo vya habari jioni hii kuwa ataifuta TLS sababu imeanza kuingiliwa kisiasa. Na kushauri iende kwa msajili wa vyama vya siasa ili isajiliwe kama chama siasa.

Kibatala anasema
Kauli ya Waziri Mwakyembe kwamba Serikali haitasita kuifuta TLS inajibiwa kwa hoja nyepesi sana; nini kimemstua? Mbona hakuongea pale Judge Mkuu Mstaafu alipochukua forms za kugombea Urais kupitia CCM? Alihoji ni lini Judge Agustino Ramadhani alichukua membership card ya CCM? Au kwa Waziri Mwakyembe ni sawa tu kwa Marais wa zamani TLS kugombea Ubunge kupitia CCM muda mfupi baada ya kuachia nafasi;na ku-create kila impression kwamba alikuwa CCM card-carrying member?
Waziri Mwakyembe anafikiri Mawakili (taaluma ambayo yeye amejipumzisha nayo kwa muda na halipii ada full kwa kuwa ni non-practising member) hawana utashi wa kutosha kutofatisha kati ya itikadi za siasa na msingi wa TLS? Mawakili zaidi ya 5000 wanaweza kuwa wajinga kiasi cha kurubuniwa na itikadi au harakati za kisiasa za vyama?

Alikuwa wapi yeye kama Wakili (japo ambaye ni non-practising) kutetea tulipotishiwa kuunganishwa katika case iwapo tutatea wateja wetu? Alikuwa wapi kukemea Polisi walipokamata Mawakili wenzake wakiwa kazini?

Waziri Mwakyembe anafikiri ni rahisi kiasi hicho kuifuta TLS kwa kuwa tu yeye ni Waziri? Hafahamu kuna Mahakama ambazo yeye hazi-control na kuna tools kama Judicial Review, etc?

Alikuwa wapi kuzungumzia maafisa wa Polisi waliostaafu na punde tu wakagombea Ubunge kupitia CCM? Tena hawa walikuwa ni Mawakili na wanachama wa TLS. Mbona hakuzungumzia neutrality ya Jeshi la Police?

Vipi kuhusu Mwanajeshi alyeteuliwa nafasi ya juu CCM?

Watuache TLS tuchague viongozi wetu ili tutimize majukumu yetu ya kisheria.
Mbona mwakyembe zamani alikuwa na akili au ni baada ya kupewa ile sumu?
 
Serikali bwana... Bunge walishachukua angalau nusu nusu.
Mahakama maybe. Kanisa katoliki nusu nusu, bakwata imeshaenda na maji. Sasa TLS
 
Back
Top Bottom