GE2025 Wakili Dickson Matata: Unaingiaje kwenye uchaguzi ambao Rais ambaye ni Mgombea ndiye anayeteuwa Mwenyekiti, Makamu na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Wakili Dickson Matata akizungumza katika Mdahalo wa "Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025" kipindi cha Star TV ameelezea Suala la Uteuzi wa watendaji wa Tume huru ya Uchaguzi ambapo Katiba inasema Rais ndiye mwenye Mamlaka ya kuteuwa Mwenyekiti, Makamumwenyekiti na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi na wakati huohuo Rais Mwenyewe ni Mgombea urais na baadhi ya watu aliowateuwa ni kutoka kwenye Chama chake cha (CCM)

Your browser is not able to display this video.
 
Lazima uonekane ni mjinga na usiye na akili kwa kushiriki kwenye maigizo kama hayo.
 
Vyama vya siasa wabinafsi sana, ndio mana Polepole kasema ccm B, wanashindwa kusimama pamoja kudai reforms au hata kule mahakamani awatokei mwenzao kapewa kesi ya mchongo
 
Vyama vya siasa wabinafsi sana, ndio mana Polepole kasema ccm B, wanashindwa kusimama pamoja kudai reforms au hata kule mahakamani awatokei mwenzao kapewa kesi ya mchongo

Vyama vilivyopo ktk uchaguzi vyote ni mamluki wa CCM
Watanzania wamechoka maigizo
Watanzania wamechoka ufisadi
Watanzania wanataka haki zao
 
Ukiona nchi inaongozwa kwa kutumia mabavu basi jua uko tuendako ni kubaya sana, maana wale wanaohisi kuwa wanaonewa adui akija inakua rahisi sana kwao kuungana nae, sasa ogopa sana adui akiungana na mwenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…