Nilichojifunza uchaguzi wa Kenya wakikuyu wanahusudu sana ufisadi na ni wakabila wakubwa.
Licha ya mgombea mwenza wa Ruto kuwa ana shutuma ya ufisadi na Ruto mwenyewe kuwa na shutuma za ufisadi wameamua wao Ruto ndio mtu wao.
Hoja kwao ni kwamba Ruto aliwaunga mkono Wakikuyu kumuweka Kenyatta na kwamba Kenyatta kwa kukiuka makubaliano yenye msingi wa kikabila na kumuunga mkono Odinga amewasaliti.
All in all tunawaombea ndugu zetu wa Kenya uchaguzi wa amani. Mungu awaepushe na ghasia kwa mara nyingine hapo mshindi wa Urais atakapotangazwa.
Kwa hiyo ulitaka wakikuyu wacheze ngoma ya Kenyatta, siyo? hizo shutuma za ufisadi umeziona wewe kuliko wao ambao uchaguzi unawahusu, acha kufananisha uchaguzi wa Kenya na chafuzi zinazofanyika hapa bongolala.......