Sasa Air Tanzania imenunua Boeing kadhaa kuwezesha International flights. Je, uwezo wa marubani wetu ukoje ukilinganisha na hizo crafts za Boeing? Niweke tu kwenye record juzi tumesafiri na Air Tanzania kwenda Harare then Zambia. Ndege ya tarehe 8 June. Sitaki kumtaja rubani maana anajijua lakini kutua kwake Harare ulikuwa wa taharuki.🥺🥺🥺Nawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa na ajali 2019 na ilikuwa pia ndege ya Boeing 737 MAX 8. Na chanzo ilikuwa MCAS ambayo ni aircraft manufacturer issue na swala la training kwenye these models. Abiria na crew wote walifariki.
Sasa Air Tanzania imenunua Boeing kadhaa kuwezesha International flights. Je, uwezo wa marubani wetu ukoje ukilinganisha na hizo crafts za Boeing? Niweke tu kwenye record juzi tumesafiri na Air Tanzania kwenda Harare then Zambia. Ndege ya tarehe 8 June. Sitaki kumtaja rubani maana anajijua lakini kutua kwake Harare ulikuwa wa taharuki.
Kwa wale wazoefu mtaelewa rubani alituwa vile crash landing matairi yote kugusa ardhi same time, sio main wheels kwanza na ikaendelea kasi kama vile tuna takeoff tena. Abiria wengi walijawa hofu. Ni safari wengi wanaweza kufanya maamuzi ya kutotumia Air Tanzania.
Engineer Ulanga and Air Tanzania Management, this is food for thought.
Nawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa na ajali 2019 na ilikuwa pia ndege ya Boeing 737 MAX 8. Na chanzo ilikuwa MCAS ambayo ni aircraft manufacturer issue na swala la training kwenye these models. Abiria na crew wote walifariki.
Sasa Air Tanzania imenunua Boeing kadhaa kuwezesha International flights. Je, uwezo wa marubani wetu ukoje ukilinganisha na hizo crafts za Boeing? Niweke tu kwenye record juzi tumesafiri na Air Tanzania kwenda Harare then Zambia. Ndege ya tarehe 8 June. Sitaki kumtaja rubani maana anajijua lakini kutua kwake Harare ulikuwa wa taharuki.
Kwa wale wazoefu mtaelewa rubani alituwa vile crash landing matairi yote kugusa ardhi same time, sio main wheels kwanza na ikaendelea kasi kama vile tuna takeoff tena. Abiria wengi walijawa hofu. Ni safari wengi wanaweza kufanya maamuzi ya kutotumia Air Tanzania.
Engineer Ulanga and Air Tanzania Management, this is food for thought.
Kuna madogo kile kibombadia wanakipeleka kasi vibaya sana😂😂😂Air Tanzania hawana abiria, hata wakianguka ni hao ma Pilot, na waliotajwa kwa report ya CAG ndo watakufa!
Kuna madogo kile kibombadia wanakipeleka kasi vibaya sana😂😂😂
Kuna kazi ukijiingiza hupaswi kuwa na siku mbaya. Better go back and sleep umwachia mwingine. Hasa kwenye masuala ya maisha ya watu.Sometimes Marubani nao huwa na siku mbaya Kazini!
Jambo la kushukuru Mungu, you landed safely.
Japo tahadhali yako ni muhimu kuchukuliwa na Management ya ATCL
Bado hatujasahau machungu ya kupoteza ndugu/jamaa zetu kwenye ile ajali ya Precision air Mwaka Juzi.
Umesema sahihi, lakini ni nani ambaye hataki kupata Posho ya safari eti kutokana na kuwa na Siku mbaya KaziniKuna kazi ukijiingiza hupaswi kuwa na siku mbaya. Better go back and sleep umwachia mwingine. Hasa kwenye masuala ya maisha ya watu.
Sometimes Marubani nao huwa na siku mbaya Kazini!
Jambo la kushukuru Mungu, you landed safely.
Japo tahadhali yako ni muhimu kuchukuliwa na Management ya ATCL
Bado hatujasahau machungu ya kupoteza ndugu/jamaa zetu kwenye ile ajali ya Precision air Mwaka Juzi.
Nafikiri Uongozi utakuwa umepokea maoni ya Wadau humuKama ni kweli haijakaa sawa
Marubani wa kimataifa huwa wanatangazia Abiria kama hali ya hewa ni mbaya au kama kuna changamoto yoyote kabla ya kutua; ili watu wasishutuke, na ndio sababu ukifuatilia utaona baadhi ya ndege zikishatua, Abiria huwapigia Pilots makofi kama kuwapongeza kwa kazi nzuri (hii ni kama walitangaziwa)
Punguza ujuajiNawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa na ajali 2019 na ilikuwa pia ndege ya Boeing 737 MAX 8. Na chanzo ilikuwa MCAS ambayo ni aircraft manufacturer issue na swala la training kwenye these models. Abiria na crew wote walifariki.