Wakenya wanasema wanatuadhibu, Hivi ni kweli?

Wakenya wanasema wanatuadhibu, Hivi ni kweli?

msina700

Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
40
Reaction score
4
Jamani kwa kukataza magari ya Tanzania kuchukuwa watalii Jomo Kenyatta Airport ni kutupanishi kwa kutofungua mpaka wa Gorogojo, hivi hawa jamaa wanatoa wapi Jeuri hii?

Kwanza mimi naona wanatunyonya tu, ni bora serikali ifunge Mipaka yote na hawa jamaa, kama connection ya ndege tutafanya Dubai,Adis Ababa au Bondeni.

Hiyo Nakumati tutawaita Game na wengine.

Wanatuchora vikatuni na tukiwaacha watatatuchezea hawa, Fukuza wote maana wamejaa sana hapa kwetu hadi wahudumu wa baa wapo , warudi kwao sisi tukazanie SADC.
 
MKUU. TZ HATUNA uwezo wa kufanya hayo. hivi sasa CCM wameamisha mada. wameframe UGAIDI TANGA ili watu wasahau.. MZOZO WA KENYA, ESCROW, KATIBA, SUKARI, N.K. wamebuni mbinu ya ugaidi ili kuwatisha watu wasahau na wapate sababu za kupiga marufuku MIKUTANO YA UPINZANI lakini wao WATAENDELEA NA MIKUTANO. mimi siamini kilichotokea Tanga . EVERY THING FRAMED!
 
Safari hii hawasaulishi mtu hapa.., gaidi bongo tangu lini?!
 
Back
Top Bottom