Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
nugu si ni Kikikuyu 😂 😂During the film, Rafiki sings a nonsense chant: "Asante sana, squash banana, wewe nugu, mimi hapana." This is a Swahili playground rhyme which translates to "Thank you very much (squash banana), you're a baboon and I'm not!" Like "hakuna matata" (no worries), the chant was heard by the filmmakers on their research trip to Kenya.
Sehemu yoyote mkenya alipo ukabila lazima aupe prioritynugu si ni Kikikuyu 😂 😂
sasa the word 'nugu' means monkey in Kikuyu. Huo ni ukabila kumention that?Sehemu yoyote mkenya alipo ukabila lazima aupe priority
The word nugu itajulikana duniani. Hongereni sana wakenyanugu si ni Kikikuyu 😂 😂
Ni kikikuyu. Alafu wakikuyu wa Kiambu huwa wanapenda sana kuingiza matusi kwenye kila sentensi. Ukiwa umevalia pamba za kishua na upo 'smart' kupindukia, utasikia wakikuambia, 'caitaani ino, uhuana nugu'! 😀nugu si ni Kikikuyu
Miaka yote sijawahi kuelewa hili neno nugu leo ndio najua ni nyani duuh.The word nugu itajulikana duniani. Hongereni sana wakenya
Povu kutoka kwa hater. Alafu kwa Star Wars pia ma 'alien' flani huwa wanatumia kikikuyu kama lugha ya sayari yao. Mwaga povu lingine.Sehemu yoyote mkenya alipo ukabila lazima aupe priority
Haaa wamesahaa word kiberaThe word nugu itajulikana duniani. Hongereni sana wakenya
Ni kikikuyu. Alafu wakikuyu wa Kiambu wanavopenda kuingiza matusi kwenye kila sentensi. Ukiwa umevalia pamba za kishua na upo 'smart' kupindukia, utasikia wanakuambia, 'caitaani ino, uhuana nugu'! 😀
Am kiuk, with Maasai and Meru heritage from my maternal grandparents.
Lol ..kumbe unaelewa Kikuyu.
Sasa waKenya wameharibu lugha ya Afrika Mashariki wapi? Hii sio lugha ya Tanzania pekee sababu Kenya,DRC ,Rwanda ,Burundi parts of Somalia,Mozambique,Madagascar also have a say so nyie waTzed stop that arrogance.During the film, Rafiki sings a nonsense chant: "Asante sana, squash banana, wewe nugu, mimi hapana." This is a Swahili playground rhyme which translates to "Thank you very much (squash banana), you're a baboon and I'm not!" Like "hakuna matata" (no worries), the chant was heard by the filmmakers on their research trip to Kenya.
kuja tukunywe chaiMkenya hawezi kusema njoo tunywe chai anasema tukuje tunye chai
Ndo mana hawachezi chanSehemu yoyote mkenya alipo ukabila lazima aupe priority
Tausi queensLion King?