MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,238
- 50,411
Mkiambiwa kuna tofauti kubwa kati yetu manakataa, mnabisha na kutukana. Mkenya akiona fursa, huifuata kwa nia, akili, uwezo na nguvu zote, lakini Mtanzania anaishia kununa na kuwa mwoga mwoga kwa kila hatua, anaishia kuwa na maneno mengiiiiiii.
Vodacom ya Tanzania walitangaza uuzaji wa hisa, naona kwenye taarifa hadi wameongeza muda wa makataa/deadline yao ili walau wapate Watanzania watakaonunua hadi ziishe. Wakati nakumbuka kipindi Safaricom walitangaza hisa zao, Wakenya walipitiliza kwa asilimia 532%
Halafu ukizingatia hisa za Safaricom zilikua zaidi ya maradufu ya hizo mnazouziwa na Vodacom.
Hebu muachie Wakenya hizo za Vodacom huko, muone tutakavyotiririka na kuzifagia asubuhi kabla saa nne muda wa chai.
Adviser rules out Vodacom Tanzania oversubscription
UPDATE 2-Kenya's Safaricom IPO oversubscribed by 532 pct