WAKE ZETU TUFANYAJE TUELEWEKE

WAKE ZETU TUFANYAJE TUELEWEKE

LITA2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2019
Posts
485
Reaction score
1,045
Wanajamvi tuendelee kuchukua tahadhari na janga la corona,
Niende kwenye mada straight, nimeoa mwaka wa pili sasa...before sijaoa nimepitia experiences nyingi za mahusiano, na kwa kiwango chake nimehitimu. Tangu nimeingia katika wedlock, sijatoka nje ya ndoa na sioni sababu..mke wangu yupo free kwa mawasiliano yangu yote na kila kilicho changu. Licha ya hayo yote, amekua ni mtu ambae haniamini kabisaa, akiona text yyt hata ya salamu za kawaida kama ni jinsia ya kike bas balaa...kwa nature ya kazi yangu ni ngumu kutokua na contacts za jinsia tofauti. Wanandugu nifanyaj kujenga trust katika hali kama hii wakati sina upuuzi wwte niuafanyao..surely nimebaki kumuachia Mungu tu, mana anajua sina baya ila mwenzangu ni shida..anaweza nuna hata siku 3 akikuta mawasiliano yyte yale...naona nakosa amani sana.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mkuu nikupe pongezi, Maana una mke anayekupenda

Moja ya kipimo cha mapenzi ni WIVU
 
Pole Sana Tena sana
Brother ur still in very early journey of ur marriage
Ni Jambo la muda tu litapita Cha msingi kila mtu unayempatia contact zako mpe limit ya kukutafuta labda Kama kunajambo la muhimu Sana Tena sana wakati unapokua nyumbani, alafu usiache kumuelimisha kuwa huna baya lolote unalofanya na simu zako zinazoingia ni kwa ajili ya kazi tu. Alafu jitahidi Sana lumuacha awe free zaidi na simu yako ataadapt tu kukutrust.
It happen to me also but now I can start even infront of her

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom