Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
Lift sio lazima iwe ya gari,au kupandia ghorofa,mke rafiki , Jjrani akikuomba simu yako atume message nayo ni lift Mlengwa hapa ni mke.
Mkeo anakuomba lift , then anaanza kupiga na honi.Honi hapa ni hawa wake zetu, kabla hajatuma message ukishampa simu , anaanzia "sent items" .
Wosia wangu nyie wanawake, mkitaka tubaki tunawalea wanetu ndoani ,achaneni na sent items za waume wenu.Pekuapekua sent items za wanaume wenu sio vizuri.