sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,926
Hit ni touchTaja nyimbo moja ya Wakazi.
Anaimba mziki wa kufoka maarufu kama hip hop/RapHata Mimi simjui hivi huyo ndio msanii Gani kwanza anatishia kubloku?
Kwani ni lini wakazi alisurvive kwenye mziki huyu kwenye mziki alikuja kupoteza muda tu ni kama yule dada kasoma USA kaja kufungua biashara ya makandeUsiwe na mtazamo huo ndugu, Zama zimebadilika sana, na kipindi hiki cha socha network mtu kama wakazi anaweza ku survive bila hata wao.
Nina uhakika huyo jamaa ni marehemu sasahivi.Taja nyimbo moja ya Wakazi.