Wakatoliki tudai mahakama za canon law

Tuwasaidie iingizwe kwenye katiba wakiomba, ila ile hukumu yaukipigwa shavu la kushoto mgeuzie la kulia mh! Yataka moyo wa yesu mnazareti
 
Nchi yetu haina dini inaongozwa kwa mujibu wa sheria nataratibu zilizomo kwenye katiba yetu tukukuka!!
 
wee hayawani huna ujuacho kuhusu ukristo bora unyamaze tu. Akili za kijinga eti mtu akijamba akatawadha basi kashaiona pepo.

Nashkuru umeishiwa hoja kumtetea huyo mungu wako ambaye ndie kimbilio lako unayemtegemea. Karibu katika dini ya kiislam, dini ya kwel na takatifu.
 


Nashkuru sana kwamba hoja zote nilizojenga juu ya udhaifu wa dini ya kikiristo umeshindwa kupangua na kusema sawa. Kwanza naomba ufahamu kwamba dini ya kiislamu haikuanzia pale alipokuja Mtume Muhammad S.A.W, Dini ya kiislamu imeanza tokea kiumbe wa kwanza kuletwa ulimwenguni na Allah S.W.T ambaye ni Nabii Adam ata kabla ya huyo Yesu kuzaliwa, kabla ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (ukihitaji kwa nini nabii Adam na uislamu nitakutumia uweze kujifunza)

Kuhusu waislamu kuua, Unajuwa katika dini ya kiislam kuna kitu kinaitwa Jihaad (Vita vitakatifu), Waislamu hawakurupuki tu kupigana na kushambulia lazima kutakuwa na sababu aidha Makafiri wamepiga waislam au ndo kama hivyo wamechora katuni kumtukana Mtume wetu Muhammad S.A.W na mengine yenye mfano wa hayo. Hata wakati wa Mtume Jihaad ilikuwepo Mtume alipigana na Makafiri, Maswahaba wa Mtume pia walipigana na Makafiri, ukifa katika kupigana na Makafiri basi unakufa shahidi malipo yako ni Pepo. Kwaiyo vita dhidi ya Makafiri ni sawa kabisa na hili halina ubishi tunaunga mkono waislamu wenzetu wanaopambana vilivyo na hawa Makafiri amba wanapiga vita uislamu.

Madai ya Mahkama ya Kadhi ni pale pale tu. Ili waislamu tuweze kutekeleza matatizo na migogoro ya waislamu hasa katika ndoa na mirathi dini yetu inatufahamisha kuwa na hii Mahkama ambayo inatambulika kidola nakusudia kwenye katiba ya nchi. Hili halina ubishi kwa vile Waislamu ambao ndio wengi Tanzania hapa ndio nyumbani kwao.
 
Kila madhehebu sasa ni wakati wa kudai haki sawa.

Wakatoliki tunaongozwa na Canon Law, basi nasi tupate mahakama zetu kama wanavyodai wana imani wenzetu.
Mkuu licha ya Canon Law, hebu soma sehemu hii katika Biblia yako 1Wakorintho 6:4-6! Niambie maana yake ni nini kama sio ninyi kuwa na mahakama zenu! Wakristu wanazo mahakama zao hata kama zinaitwa mabaraza, ila zipo chini ya mifumo ya makanisa yetu. Hatulazimishi kuwa mabaraza yetu ya usuluhishi yatambuliwe na Serikali. Aya hiyo hapo juu ndiyo inayotuongoza katika kuanzisha mabaraza yetu. Wakifanya makosa tu ya kulazimisha mahakama ya kadhi, nasi tutadai kuwa mabaraza yetu yatambuliwe na kulipwa!
 

Hii serikali inaleta mchezo na mambo ya dini! Tutadai nasisi mabaraza kama ulivyotutahayarisha kwenye verse hiyo hapo juu. Asante sana!
 

Nani anawakataza kuwa na mahakama za kuchinja vichwa, kukata mikono etc zenu, mzigharamie wenyewe, hakuna anayewakataza. hatutakubali fedha ya wote itumike kwa kukata vichwa kwa kundi moja!
 
Nani anawakataza kuwa na mahakama za kuchinja vichwa, kukata mikono etc zenu, mzigharamie wenyewe, hakuna anayewakataza. hatutakubali fedha ya wote itumike kwa kukata vichwa kwa kundi moja!

Sasa kama ni kugaramia waislam wenyewe ni kwanini munakusanya kodi za waislamu mbali mbali Tanzania ku promote Kanisa toke Tanzania ipate huru? fedha ya waislam kujenga kanisa munaitaka lakini kwaajili ya Mahkama ya Kadhi munaanza kuleta vihoja uchwara
 

We Win8, mbona nakuona (ingawa sikujui) kutokana na posting zako huko nyuma kama msomi with high mental powers, sasa hii reasoning (samahani nitaiita shallow-siyo kwa kukudharau, ila reasoning yenyewe ndiyo shallow))kuwa fedha ya waislamu inajenga makanisa unaitoa wapi!
 
Natamani pia mahakama hiyo ianzishwe haraka ili majizi yote yanayopora wake za watu yashughulikiwe yakiongozwa na Padre Mzinifu
duh dhamira yako siyo yakweli bali nia na lengo lenu ni kuuzima ukawa!!
 

Kwa mfano juzi tu Rugemalila amempa Kilaini milioni 40 mchango wa Kanisa na zile hela ni za umma wakiwemo wislamu, lakini pia serikali kupitia mfumo kiristo inatoa michango na mikubwa Zaidi kulijenga kanisa, serikali haina fedha zake mfukon isipokuwa ni fedha kodi za wananchi wakiwemo waislam, Zinakusanywa kupitia TRA hadi Zanzibar kule wanalipa accordingly. lakin kwa hii mahkama ya kadhi sasa Tanganyika wanahoji kodi kwani waislam walipenda kulipa kodi ziende kwenye Kanisa?
 
Acha utani na mambo serious kama haya ndugu!!! pandre angekuwa na uwezo huo kisheria maana yake akishasamehe aliyekwenda kanisani kutubu basi mhalifu huyo asingepelekwa mahakamani basi.....DINI ZIBAKIE DINI NA IMANI ZA WAUMINI WAKE....NA SERIKALI IBAKIE KUWA SERIKALI ILI KUSIMAMIA SHERIA ZA NCHI. Haya mambo hayatakiwi kuchanganywa hata kidogo. Kadhi ibakie huko huko ambako serikali husika zimekubali kugawa wananchi wake kwa UDINI.
 
ni kweli kabisa ulichoandika! maana hata yale mauaji yanayoendelea kule Libya, Irag, Afghan na sehemu nyingi zimesababishwa na masheke! kwani yale mabomu ya tomuhak yaliyokuwa yakishushwa kuua watu sehemu hizo yalikuwa ya mashehe!
mnawaprovok waislam kila siku mara mkojolee quran, mara mara mumchore Mtume Mohammad kama kikatuni na madhila mengi kama hayo. baadaye mnakuja na single kuwa waislam wanaleta vurugu. jiulizeni. nyie watu mna matatizo sana.
vurugu za huko geita hazina uhusiano wowote na kadhi court. kama nilivyosema hapo awali. kadhi court haipo tanzania tu, bali ipo sehemu mbalimbali hata zenye waislam wachache kabisa kama south Afrika.
hata hapa Tanzania wakoloni weupe waliwasikiliza waislam wakaanzisha. lakini hata hivyo walipokuja wakoloni weusi wakaifuta 1964.


 
uandishi wako tu unatosha kuonyesha kuwa ufahamu wako ni mdogo sana.
 
Kila madhehebu sasa ni wakati wa kudai haki sawa.

Wakatoliki tunaongozwa na Canon Law, basi nasi tupate mahakama zetu kama wanavyodai wana imani wenzetu.
Mahakama ya kanisa ipo na inafanya kazi bila kudai kuendeshwa kwa gharama za serikali
 
uandishi wako tu unatosha kuonyesha kuwa ufahamu wako ni mdogo sana.

Umeshindwa kupangua hoja unalalamikia uandsh, hapa ni forums hakuna mtu anayeto maks kwa aliyeandka neon kw neno correct, almrad umefaham mantik
 

Kweli Mkandara analeta utani ndio maana sikumjibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…