Wakati Watanzania Wakipigwa Porojo, Wakenya Wameongezewa Mshahara kwa 12.5%

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
Central Organization of Trade Union (COTU) wanataka 60%.

kama serikali haitasikiliza madai ya wafanyakazi, Jumanne (3rd May 2011) wanagoma.

Kibaki kakimbia sherehe za Mei Dei. Watu walikuwa wanaimba "unga! unga!" mbele ya waziri wa kazi.

source: Citizen Television

Tanzania nasikia 'madai yenu yatashughulikiwa'
 
Hizo 12.5% mbona hapa ndani hazionekani mkuu,na ni kiongozi gani kaahidi hiyo asilimia,tunaomba utujuze
 
12.5% unasema zimeongezwa.? Huu ni uzalilishaji yaaani TSH 100,000/= unaongeza tsh 12500/= zitakusaidia nini katika maisha ya sasa .wANANUFAIKA WANAOPOKEA ZAIDI YA 1M
 
Back
Top Bottom