B bokango New Member Joined Jul 21, 2010 Posts 2 Reaction score 1 Oct 18, 2012 #1 Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!!
Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!!
Fyong'oxi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 266 Reaction score 72 Oct 18, 2012 #2 bokango said: Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!! Click to expand... Hapo kwenye red ,, umekosea au umedhamiria?
bokango said: Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!! Click to expand... Hapo kwenye red ,, umekosea au umedhamiria?
I iseesa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 943 Reaction score 214 Oct 18, 2012 #3 bokango said: Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!! Click to expand... Mkuu, Hapo kwenye red una maana REGINA au PAMELA?
bokango said: Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!! Click to expand... Mkuu, Hapo kwenye red una maana REGINA au PAMELA?
Access Denied JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 655 Reaction score 211 Oct 18, 2012 #4 Ngoja nipite tu maana makosa ni mengi sana.
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 612 Oct 18, 2012 #5 Nyinyiemu tumewachoka
K Kitanga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 366 Reaction score 235 Oct 18, 2012 #6 Lowassa, sijui kama atakuja na jipya sana. Mambo yanaharibu nchi ni yale ambayo CCM imekuwa ikiyanyamazia.
Lowassa, sijui kama atakuja na jipya sana. Mambo yanaharibu nchi ni yale ambayo CCM imekuwa ikiyanyamazia.
K Kagalala JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 2,403 Reaction score 1,134 Oct 18, 2012 #7 Mwizi hawezi kuwa na ubavu wa kukemea maovu kwani anajua watu wanajua madhambi yake. Katika hali kama hii huwezi kumkabidhi Lowassa nchi.
Mwizi hawezi kuwa na ubavu wa kukemea maovu kwani anajua watu wanajua madhambi yake. Katika hali kama hii huwezi kumkabidhi Lowassa nchi.
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Oct 18, 2012 #8 bokango said: Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!! Click to expand... Umekula chakula mchana huu?Maana njaa wakati mwingine hupelekea watu kuongea vitu visivyoeleweka.
bokango said: Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!! Click to expand... Umekula chakula mchana huu?Maana njaa wakati mwingine hupelekea watu kuongea vitu visivyoeleweka.
G Getekwe Member Joined Oct 17, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Oct 18, 2012 #9 Raisi kichwa boga huyu, kwani mmesahau matokeo ya mtihani ya binti yake. like a father like a daughter.
Raisi kichwa boga huyu, kwani mmesahau matokeo ya mtihani ya binti yake. like a father like a daughter.
O Oremus Member Joined Oct 17, 2012 Posts 46 Reaction score 9 Oct 18, 2012 #10 bokango said: Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!! Click to expand... Mimi naona tuachane tu na hii CCM,kwasababu E. L ni mmoja wapo walio Mpitisha huyu VASCO-DAGAMAkwenye vikao vyao vya NEC na sasa tunayaona matokeo yake.Kwahiyo sidhani kama E.L atakuwa na jipya tena kwa Nchi ilipo fikia sasa By Oremus
bokango said: Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!! Click to expand... Mimi naona tuachane tu na hii CCM,kwasababu E. L ni mmoja wapo walio Mpitisha huyu VASCO-DAGAMAkwenye vikao vyao vya NEC na sasa tunayaona matokeo yake.Kwahiyo sidhani kama E.L atakuwa na jipya tena kwa Nchi ilipo fikia sasa By Oremus