Wakati Umefika Upinzani Kujipanga, watanzania tumeshaonyesha ukomavu wetu

nndondo

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
1,251
895
Rude awakening:
Watanzania, nawapongeza sana kwa kile tulichokionyesha siku mbili zilizopita, na hasa jana baada ya self imposed life president Magufuli kutukumbusha kuwa sisi ni watumwa wake, wasio na faida, amejichagua mwenyewe, na hatuna la kumfanya. Tukumbuke ni dhahiri kuwa mchakato wa kubadili katiba ya CCM, ni hatua ya mwisho ya kubadili katika ya nchi, ili, kama godfatthers wake, Museveni, Kagame na Nkurunzinza, awe life president. Yawezekena ni ule mkakati wa lile eneo na ndio maana watanzania tunataka hata kufahamu sasa, asili ya huyu bwana ni ipi.

Sasa, wakati tunawaona watanzania waliofanyika kuwa wapumbavu wakikataa huu mpango mkakati wa Magufuli, ni lazima tuandae upinzani utakaoweza ku fill the vacum, hasa kama ikatokea huyu bwana kushindwa kujiheshimu na kutufanya tushindwe kumvumilia mpaka 2020. Najua huu ni mwiba mkali lakini lazima tuumezi kama tunataka kuvuka kama nchi.

Need to address the quality of alternative leadership.
Tumeona kwa uwazi kabisa kuwa pamoja na kujitahidi bado upinzani umeshindwa kutoa alternative voice, sauti ya zege, yenye moral authority and integrity ya kukemea jambo kama hili. Hii si kusema viongozi waliopo wameshinda, la, bali ukweli ni kwamba hawatoshi. Tumeona mpaka leo hakuna kiongozi aliyeweza kuchambua na kuweka msimamo wa wapinzani katika jambo hili chafu na la kishenzi. Nazungumzia statement yenye kusimamia position kama ile ya mafisadi iliyotolewa pale Mwembeyanga. Hakuna Hakukuna, nashauri upinzani particulary Chadema, waanze kutafakari nafasi ya Dr Slaa katika kurudi kwenye mapambano haya.

Ni ukweli usiopingika kuwa baada ya muda mrefu huu, tumejua kuwa kile alichokisimamia Dr Slaa, ni cha kweli, na hakuna sababu ya kuendelea kutaka kum prove wrong. Bado Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushiriki katika mapambano haya. Nawasiwasi kwamba kama wapinzai hawatajiandaa, wataishia kubadili gia angani, strategy iliyoonekana kutokuwa very effective. Naomba hoja na sio matusi katika kuwasaida walioko front!
 
Dr. Slaa hakuwa na jipya, hakuna asikari anayekimbia vita baada ya kumteka adui na kumtanguliza mbele kwenye uwanja Wa mapambano kisha unakuja na hitimisho kuwa hii si vita. Kwanza pigana vita ikiisha na umeshinda ndipo unajipanga vizuri na kuiweka safu yenye askari mahili. Dr. Slaa tumombee kwa mungu amsamehe kwa usaliti, kwavile alikuwa padre atakuwa anajijutia nafsi yake kwa usali na mwenzie prf. Lipumba hata sasa anahangaika na cuf ili akidhi tumbo lake.
 
Kama analingia yule msukuma ajue amekwisha hata amini kitakachotokea,ajaribu kubadilisha hiyo katiba hata kidogo aone!!
 
Rude awakening:
Watanzania, nawapongeza sana kwa kile tulichokionyesha siku mbili zilizopita, na hasa jana baada ya self imposed life president Magufuli kutukumbusha kuwa sisi ni watumwa wake, wasio na faida, amejichagua mwenyewe, na hatuna la kumfanya. Tukumbuke ni dhahiri kuwa mchakato wa kubadili katiba ya CCM, ni hatua ya mwisho ya kubadili katika ya nchi, ili, kama godfatthers wake, Museveni, Kagame na Nkurunzinza, awe life president. Yawezekena ni ule mkakati wa lile eneo na ndio maana watanzania tunataka hata kufahamu sasa, asili ya huyu bwana ni ipi.

Sasa, wakati tunawaona watanzania waliofanyika kuwa wapumbavu wakikataa huu mpango mkakati wa Magufuli, ni lazima tuandae upinzani utakaoweza ku fill the vacum, hasa kama ikatokea huyu bwana kushindwa kujiheshimu na kutufanya tushindwe kumvumilia mpaka 2020. Najua huu ni mwiba mkali lakini lazima tuumezi kama tunataka kuvuka kama nchi.

Need to address the quality of alternative leadership.
Tumeona kwa uwazi kabisa kuwa pamoja na kujitahidi bado upinzani umeshindwa kutoa alternative voice, sauti ya zege, yenye moral authority and integrity ya kukemea jambo kama hili. Hii si kusema viongozi waliopo wameshinda, la, bali ukweli ni kwamba hawatoshi. Tumeona mpaka leo hakuna kiongozi aliyeweza kuchambua na kuweka msimamo wa wapinzani katika jambo hili chafu na la kishenzi. Nazungumzia statement yenye kusimamia position kama ile ya mafisadi iliyotolewa pale Mwembeyanga. Hakuna Hakukuna, nashauri upinzani particulary Chadema, waanze kutafakari nafasi ya Dr Slaa katika kurudi kwenye mapambano haya.

Ni ukweli usiopingika kuwa baada ya muda mrefu huu, tumejua kuwa kile alichokisimamia Dr Slaa, ni cha kweli, na hakuna sababu ya kuendelea kutaka kum prove wrong. Bado Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushiriki katika mapambano haya. Nawasiwasi kwamba kama wapinzai hawatajiandaa, wataishia kubadili gia angani, strategy iliyoonekana kutokuwa very effective. Naomba hoja na sio matusi katika kuwasaida walioko front!
Umeniwahi kwa kuanzisha uzi wenye maudhui yanayorandana na mtazamo wangu kwa 100%. Upinzani unamuhitaji Dr Slaa kuliko kipindi chochote kile.
 
Mkuu hataa walee wakulee songambele kitetoo nao akili zimeshakomaa hawatadanganyika tenaa na kanga na kofiaa za fisiem
 
Kama analingia yule msukuma ajue amekwisha hata amini kitakachotokea,ajaribu kubadilisha hiyo katiba hata kidogo aone!!
Hahaha wakati unasema hayo huna hata kovu moja usoni.

Mtaishia kurusha ngumi humuhumu jamiiforums.kwendaaaa..
 
Rude awakening:
Watanzania, nawapongeza sana kwa kile tulichokionyesha siku mbili zilizopita, na hasa jana baada ya self imposed life president Magufuli kutukumbusha kuwa sisi ni watumwa wake, wasio na faida, amejichagua mwenyewe, na hatuna la kumfanya. Tukumbuke ni dhahiri kuwa mchakato wa kubadili katiba ya CCM, ni hatua ya mwisho ya kubadili katika ya nchi, ili, kama godfatthers wake, Museveni, Kagame na Nkurunzinza, awe life president. Yawezekena ni ule mkakati wa lile eneo na ndio maana watanzania tunataka hata kufahamu sasa, asili ya huyu bwana ni ipi.

Sasa, wakati tunawaona watanzania waliofanyika kuwa wapumbavu wakikataa huu mpango mkakati wa Magufuli, ni lazima tuandae upinzani utakaoweza ku fill the vacum, hasa kama ikatokea huyu bwana kushindwa kujiheshimu na kutufanya tushindwe kumvumilia mpaka 2020. Najua huu ni mwiba mkali lakini lazima tuumezi kama tunataka kuvuka kama nchi.

Need to address the quality of alternative leadership.
Tumeona kwa uwazi kabisa kuwa pamoja na kujitahidi bado upinzani umeshindwa kutoa alternative voice, sauti ya zege, yenye moral authority and integrity ya kukemea jambo kama hili. Hii si kusema viongozi waliopo wameshinda, la, bali ukweli ni kwamba hawatoshi. Tumeona mpaka leo hakuna kiongozi aliyeweza kuchambua na kuweka msimamo wa wapinzani katika jambo hili chafu na la kishenzi. Nazungumzia statement yenye kusimamia position kama ile ya mafisadi iliyotolewa pale Mwembeyanga. Hakuna Hakukuna, nashauri upinzani particulary Chadema, waanze kutafakari nafasi ya Dr Slaa katika kurudi kwenye mapambano haya.

Ni ukweli usiopingika kuwa baada ya muda mrefu huu, tumejua kuwa kile alichokisimamia Dr Slaa, ni cha kweli, na hakuna sababu ya kuendelea kutaka kum prove wrong. Bado Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushiriki katika mapambano haya. Nawasiwasi kwamba kama wapinzai hawatajiandaa, wataishia kubadili gia angani, strategy iliyoonekana kutokuwa very effective. Naomba hoja na sio matusi katika kuwasaida walioko front!
Wewe kilaza wa ufipa huna jipya, kugeuza geuza maneno kunakusaidia nini
 
Kwani Dr Slaa ni Mungu kwamba bila yeye hakuna kinachoweza kufanyika?
 
Kuna sehemu bado wapo nyuma mwanza,shinyanga, dodoma, tabora, simiyu huko ukabila unawaangusha kasoro dodoma....ukombozi bado sana....
 
Rude awakening:
Watanzania, nawapongeza sana kwa kile tulichokionyesha siku mbili zilizopita, na hasa jana baada ya self imposed life president Magufuli kutukumbusha kuwa sisi ni watumwa wake, wasio na faida, amejichagua mwenyewe, na hatuna la kumfanya. Tukumbuke ni dhahiri kuwa mchakato wa kubadili katiba ya CCM, ni hatua ya mwisho ya kubadili katika ya nchi, ili, kama godfatthers wake, Museveni, Kagame na Nkurunzinza, awe life president. Yawezekena ni ule mkakati wa lile eneo na ndio maana watanzania tunataka hata kufahamu sasa, asili ya huyu bwana ni ipi.

Sasa, wakati tunawaona watanzania waliofanyika kuwa wapumbavu wakikataa huu mpango mkakati wa Magufuli, ni lazima tuandae upinzani utakaoweza ku fill the vacum, hasa kama ikatokea huyu bwana kushindwa kujiheshimu na kutufanya tushindwe kumvumilia mpaka 2020. Najua huu ni mwiba mkali lakini lazima tuumezi kama tunataka kuvuka kama nchi.

Need to address the quality of alternative leadership.
Tumeona kwa uwazi kabisa kuwa pamoja na kujitahidi bado upinzani umeshindwa kutoa alternative voice, sauti ya zege, yenye moral authority and integrity ya kukemea jambo kama hili. Hii si kusema viongozi waliopo wameshinda, la, bali ukweli ni kwamba hawatoshi. Tumeona mpaka leo hakuna kiongozi aliyeweza kuchambua na kuweka msimamo wa wapinzani katika jambo hili chafu na la kishenzi. Nazungumzia statement yenye kusimamia position kama ile ya mafisadi iliyotolewa pale Mwembeyanga. Hakuna Hakukuna, nashauri upinzani particulary Chadema, waanze kutafakari nafasi ya Dr Slaa katika kurudi kwenye mapambano haya.

Ni ukweli usiopingika kuwa baada ya muda mrefu huu, tumejua kuwa kile alichokisimamia Dr Slaa, ni cha kweli, na hakuna sababu ya kuendelea kutaka kum prove wrong. Bado Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushiriki katika mapambano haya. Nawasiwasi kwamba kama wapinzai hawatajiandaa, wataishia kubadili gia angani, strategy iliyoonekana kutokuwa very effective. Naomba hoja na sio matusi katika kuwasaida walioko front!
Tatozo la wapinzan .. waanza vizur ikikaribia uchaguz wanajichanganya wenyewe.. mwishowe wanaharibiana
 
Back
Top Bottom