Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Tunamuomba Mungu nae anatusikia maombi yetu na anatujibu kadiri ya mapenzi yake na katika muda umpendezao yeye,ambao ni muda muafaka kabisa...na uombapo tegemea majibu yafuatayo.
Akupe kile unachokitaka kwa wakati umpendezao au akupe kitu tofauti na ulichomuomba lakini jibu lolote litokalo kwake ni jibu sahihi kwako na halitakuja kua na majuto yoyote kwako.
Unapoomba pia uwe mvumilivu kusubiri jibu la maombi yako na jitihada zinahitajika pale jambo linapohitaji jitihada zako,kwamfano kama unaomba msaada kuhusu masomo yako ni lazima ujitahidi nawewe au kama unaomba upate kazi nzuri,jitahidi nawewe kufanya application nyingi kadiri uwezavyo si kukaa tu kusubiri miujiza.
Sijui umenielewa?sikogi vizuri katika kuelewesha

Usipende misaada! PIGA KAZI.
Amina umeeleweka mwaya mungu akubarik sana