BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,738
- 6,556
Naunga mkono hoja na hii ndio sababu CCM Iko madarakani Toka uhuru .Ni vigumu kukuta Watanzania wanajadili mambo yanayo husu maisha yao, Maswala ya kodi isio rafiki kwenye biashara, Upigaji, Tatizo la ajira au matumizi ya anasa ya Serikali.
watawala kujazilishia wakabuni na Idea ya kununua Goli sh milion 10. Fikiria wananunua goli milion 10 na unapata Text kutoka kwa mzazi wako kijijini anataka pesa ya kununulia dawa make kwenye kituo cha afya hakina dawa zaidi ya Panadol.
Na wajinga tunaona ni sawa mgoli yanunuliwe ilihali kuna shule hazina matundu ya vyooo kabisa wanafunzi wanajisaidia vichakani.Kuna Zahanati hazina dawa kabisa.
Watanzania kutwa nzima ni habari za Mpirawa Yanga na Simba, unakuta mtu hajanywa hata Chai kwa sababu ya umasikini wa kutengenezwa na CCM ila kutwa nzima ni Yanga na Simba.Hakuna kitu kingine anakijua.
Hizi FM station nazo ni hivyo hivyo, kutwa nzima ni maada za michezo hawana maada zingine.Huwezi kukuta kituo cha Redio kinajadili hata maswala ya kodi,hio ni maada ngumu sana kwao.
Na watawala wanafurahia sana kuona Watanzania wako busy na Mpira, hii ni faida kwao make wanajipigia bila wasiwasi.
Ndio hio mianya wanaitumia hata wakina Mwigulu kuanza kuandaa watoto wao kuja kitawala watoto wetu, make hata watoto wetu tumewaambukiza ujinga huu huu.Watoto wanajifunza kutoka kwa wazazi wao, kama wazazu kutwa nzima ni maada za Mpira, hata na wao watakuwa hivyo hivyo.
mkataba upo,kwa sasa Mkt wa ile kamati ni Mizengwe PindaMkataba Mwitongo upo wapi?
Huyu kateuliwa au kachaguliwa kamati yao?mkataba upo,kwa sasa Mkt wa ile kamati ni Mizengwe Pinda
MkuuNi vigumu kukuta Watanzania wanajadili mambo yanayo husu maisha yao, Maswala ya kodi isio rafiki kwenye biashara, Upigaji, Tatizo la ajira au matumizi ya anasa ya Serikali.
watawala kujazilishia wakabuni na Idea ya kununua Goli sh milion 10. Fikiria wananunua goli milion 10 na unapata Text kutoka kwa mzazi wako kijijini anataka pesa ya kununulia dawa make kwenye kituo cha afya hakina dawa zaidi ya Panadol.
Na wajinga tunaona ni sawa mgoli yanunuliwe ilihali kuna shule hazina matundu ya vyooo kabisa wanafunzi wanajisaidia vichakani.Kuna Zahanati hazina dawa kabisa.
Watanzania kutwa nzima ni habari za Mpirawa Yanga na Simba, unakuta mtu hajanywa hata Chai kwa sababu ya umasikini wa kutengenezwa na CCM ila kutwa nzima ni Yanga na Simba.Hakuna kitu kingine anakijua.
Hizi FM station nazo ni hivyo hivyo, kutwa nzima ni maada za michezo hawana maada zingine.Huwezi kukuta kituo cha Redio kinajadili hata maswala ya kodi,hio ni maada ngumu sana kwao.
Na watawala wanafurahia sana kuona Watanzania wako busy na Mpira, hii ni faida kwao make wanajipigia bila wasiwasi.
Ndio hio mianya wanaitumia hata wakina Mwigulu kuanza kuandaa watoto wao kuja kitawala watoto wetu, make hata watoto wetu tumewaambukiza ujinga huu huu.Watoto wanajifunza kutoka kwa wazazi wao, kama wazazu kutwa nzima ni maada za Mpira, hata na wao watakuwa hivyo hivyo.
ExactlyMda mwingine kulaumu kitu bila suluhisho ni sawa na kulazimisha samaki atoke majini. Mbona watanzania ndo tulivyo! Umbea, mada za wasanii, vikao vya kwenye kahawa hasa wazee,
Mimi naona nido utamaduni wetu, hakuna cha kulaumu. Tatizo sio michezo wala magoli ya mama. Tatizo ni serikali na uongozi mbovu. Kwa iyo mtoa mada unataka watanzania wote tuwe tunaongelea sjui kodi soil wote wamesomea economics. Swala la ajira ni janga sio Tanzania peke yake, haya tukija kwenye upigaji unafikiri mwananchi mnyonge anasauti hio ya kuleta mabadiliko? Mimi sioni haja ya kulaumu wakati ndo utamaduni wetu huo.
Na baada ya miaka 10 hakutakua na haja ya kuingia darasani. Ajira nyingi zitakua substituted na AIExactly
Issue ya ajira kwa mfano, 90% ya Serikali za hapa Duniani hazina jibu nini kifanyike kulinda ama kutengeneza ajira mpya. Maana Artificial intelligence ni "teke" aka pigo linalofanana na mapinduzi ya viwanda linalopunguza matumizi ya watu kwenye kila sekta.
Hili pigo la AI ni pigo kwenye mfumo wa elimu, pigo kwa wote waliopo kwenye ajira na wale wanaotarajia kuingia kwenye soko la ajira.
90% ya Serikali duniani ziko hoi, hazijui nini kifanyike
100%Na baada ya miaka 10 hakutakua na haja ya kuingia darasani. Ajira nyingi zitakua substituted na AI