Wakati Simba SC ikielekea Algeria kupitoa Dubai, Wao Yanga SC wanaelekea Kawe kupitia Magomeni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,918
Sasa nimeamini kuwa hapa duniani Watu hatufanani na hatuko sawa kwa mambo mengi tu na labda Mwenyezi Mungu ana makusudi yake yaliyotukuka. Yaani Mwenzako anapishana tu na Ndege huko angani kuelekea Algeria kupitia Dubai Wewe unakaza zako tu kuwahi Foleni za DalaDala za Dar es Salaam ukiwa unaitafuta Kawe kupitia Magomeni.

Yanga SC mbona ' mtatukoma ' miaka hii!!!!!!

Nawasilisha.
 
Kwani labda Simba niwaulize swali rahisi,ati huko mnakoeenda mnaenda kushindania nini?....poleni in advance.Nawasilisha.
 
FB_IMG_1551690163070.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani labda Simba niwaulize swali rahisi,ati huko mnakoeenda mnaenda kushindania nini?....poleni in advance.Nawasilisha.
Kwani tarehe 16 Februari tulikuwa tunashindania nini?
Kwani mlipokuja uwanja wa taifa februari 16 mlikuwa na matarajio gani?
 
Uko uarabuni mnenda kufanya shopping ya magòli tu mnapigwa goli 5 mkirudi kimya kimya wala hamtutangazii kama mmerudi
 
Uko uarabuni mnenda kufanya shopping ya magòli tu mnapigwa goli 5 mkirudi kimya kimya wala hamtutangazii kama mmerudi
Mnakimbilia ya uarabuni wakati waarabu wote wameachia pointi 6.
Nyie tarehe 26 Februari mlifanywa nini?
Ningekuwa chura ningefunga mdomo kwani kwa msimu miwili mfululizo hamjafunga goli hata la offside dhidi ya Simba.
Kesho wenzako wanachangia kibubu nenda ukatoe mchango.
 
Back
Top Bottom