Wakati Mwingine Michepuko Uhimarisha Ndoa

Nusratt

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
1,707
Reaction score
4,192
Wapendwa Asalam Alaikum/Bwana Yesu asifiwe.

Leo sijaja na mambo mengi kama ambavyo huwa nakuja siku zote.
Leo naongea kwa uchache sana wapenzi.

Jina hili nadhani si zuri sana kulitumia kwa muktadha wake, 'Mchepuko' ila itabidi nilitumie hivohivo.

Wakati mwingine michepuko husaidia sana katika kudumisha ndoa za watu wengi na laiti kama wanawake wenzangu wangejua thamani na nguvu ya michepuko, wala wasingeleta fujo.

Mke umetoka kujifungua tuseme na operation na hutakiwi kukutana kimwili na mwenza wako kwa mujibu wa daktari hapa lazima mchepuko uhusike.

Kuna wale wanawake wanaopata hitilafu ya kupata damu kwa muda mrefu huenda miezi na miezi, hapa lazima mchepuko uingie kazini ili kunusuru ndoa yako.

Pia kuna wale wanawake wanaopata safari za kikazi za muda mrefu, hapa lazima michepuko iingie kazini ili kunusuru ndoa yako.

Kuna wanawake wenye visirani na viburi, mume hatakuonesha kama unamkera au lah! ila ujue atatoka nje kwa mchepuko ili kupooza akili yake na kusahau kero za nyumbani kwa muda.

Huwa tunawabeza sana michepuko ila kwa kiasi fulani wanasaidia sana katika kuimarisha ndoa nyingi.

Kuna wale wanaume ambao si waongeaji na hata ukimtukana na kumuonesha jeuri, basi wala hatajibizana na wewe ila ataenda kwa mchepuko wake kupoza hasira za mke.

Na pia wakati mwingine mke uliye ndoani ndie anayesababisha mumewe kutafuta michepuko.

Hongera zao sana wale wanawake wanaowaheshimu waume zao na kuwatii.

Kwa leo naishia hapa ila jambo langu ni moja tu,
Wanawake tulieni na ndoa zenu. Nasi tunataka kuingia ndoani hukohuko.
Mpende na kumuheshimu mumeo.
Akilia lia nae
Akicheka cheka nae.
Usimpangie muda wa kupata penzi lako.
Jifunze vitu vipya sio kila siku style moja tuuu, akipata style tofauti nje utalia na mito kitandani.

View: https://youtu.be/ZrR_upCgNYo?si=0aHkgm5EiWCeMS15

Wanawake mlio ndoani mnajisahau sana.
Zile kashikashi ulizokuwa unampa kabla hajakuoa huwa mnaacha kuzifanya mkishaingia ndoani, kwanini?

Mpe penzi na usim-banie.
Jifunze vitu vipya kila siku.

View: https://youtube.com/shorts/alvep2FR4xk?si=prf7O1BUjDkG3oNb

Na wewe mwanaume usibweteke, mpe penzi la kushiba mkeo.

View: https://youtube.com/shorts/VxOKELUEgtg?si=oo2Axl9SUKU0HraZ

NB:
Bado napokea marafiki toka nje ya Jf
 
Sawa na michepuko!
 
Kamw wewe ni mchaga au mkurya au muislam yes. Otherwise ni takataka tu.
 
Michepuko inasaidia sana sio kwa wanaume tu hata kwa wanawake
Ndoa za sasa zimekuwa na mitihani mingi sana unakuta mwanamke anataka kumtawala mwanaume yeye ndo awe mfanya maamuzi kelele kila siku ,ukiomba dudu unapewa kwa masharti , sasa hapo ni Bora ukatafute kimchepuko chako unatoana sitiresiiiiiii

Ila yote kwa yote tuheshimiane kwenye ndoa kwa kila mmoja kufanya jukumu lake ili tupunguze michepuko
 
Wapendwa Asalam Alaikum/Bwana Yesu asifiwe.

Leo sijaja na mambo mengi kama ambavyo huwa nakuja siku zote.
Leo naongea kwa uchache sana wapenzi.

Jina hili nadhani si zuri sana kulitumia kwa muktadha wake, 'Mchepuko' ila itabidi nilitumie hivohivo.

Wakati mwingine michepuko husaidia sana katika kudumisha ndoa za watu wengi na laiti kama wanawake wenzangu wangejua thamani na nguvu ya michepuko, wala wasingeleta fujo.

Mke umetoka kujifungua tuseme na operation na hutakiwi kukutana kimwili na mwenza wako kwa mujibu wa daktari hapa lazima mchepuko uhusike.

Kuna wale wanawake wanaopata hitilafu ya kupata damu kwa muda mrefu huenda miezi na miezi, hapa lazima mchepuko uingie kazini ili kunusuru ndoa yako.

Pia kuna wale wanawake wanaopata safari za kikazi za muda mrefu, hapa lazima michepuko iingie kazini ili kunusuru ndoa yako.

Kuna wanawake wenye visirani na viburi, mume hatakuonesha kama unamkera au lah! ila ujue atatoka nje kwa mchepuko ili kupooza akili yake na kusahau kero za nyumbani kwa muda.

Huwa tunawabeza sana michepuko ila kwa kiasi fulani wanasaidia sana katika kuimarisha ndoa nyingi.

Kuna wale wanaume ambao si waongeaji na hata ukimtukana na kumuonesha jeuri, basi wala hatajibizana na wewe ila ataenda kwa mchepuko wake kupoza hasira za mke.

Na pia wakati mwingine mke uliye ndoani ndie anayesababisha mumewe kutafuta michepuko.

Hongera zao sana wale wanawake wanaowaheshimu waume zao na kuwatii.

Kwa leo naishia hapa ila jambo langu ni moja tu,
Wanawake tulieni na ndoa zenu. Nasi tunataka kuingia ndoani hukohuko.
Mpende na kumuheshimu mumeo.
Akilia lia nae
Akicheka cheka nae.
Usimpangie muda wa kupata penzi lako.
Jifunze vitu vipya sio kila siku style moja tuuu, akipata style tofauti nje utalia na mito kitandani.

View: https://youtu.be/ZrR_upCgNYo?si=0aHkgm5EiWCeMS15

Wanawake mlio ndoani mnajisahau sana.
Zile kashikashi ulizokuwa unampa kabla hajakuoa huwa mnaacha kuzifanya mkishaingia ndoani, kwanini?

Mpe penzi na usim-banie.
Jifunze vitu vipya kila siku.

View: https://youtube.com/shorts/alvep2FR4xk?si=prf7O1BUjDkG3oNb

Na wewe mwanaume usibweteke, mpe penzi la kushiba mkeo.

View: https://youtube.com/shorts/VxOKELUEgtg?si=oo2Axl9SUKU0HraZ

NB:
Bado napokea marafiki toka nje ya Jf

Ila umejua kuwatetea michepuko wenzako. Hongera sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom