Wakati Magufuli na CCM wakiandelea na blah blaaah za fly over, angalia wa Kenya

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
821
K1.jpg

K2.jpg

K3.jpg

K4.jpg


one thing i envy abt the kenyans is they walk the talk....!! sisiemu na magufuli mnaonaaa....miaka kumi ya kuongelea mambo ya flyovers ..hakuna hata trip moja ya mchanga ilisha mwagwa site za tazara na ubungo...!!

PLZ PISHENI AKILI KUBWA ZITAWALE NCHI HII....!!
 
Wakenya hangaikeni na Alshabu tu msituetee mambo yenu ya kizembe huku.
 
Huyu Rais wa Kenya kwa nini kifuani siyo mnene....au anajiamini saana halafu yuko very simple kwa nini....na mbona anapenda kuchanganyika na wananchi kwa kushikashika watu mikono nk
 
Mpaka mashetani CCM waondoke ndo tutaona maendeleo, lakini kuwakumbatia mashetani (CCM) ni kukumbatia laana ya umaskini. Nayachukia kuliko hata shetani mwenyewe.

JUZI nilikuwa kisumu nilishangaa kuona fly over zaidi ya 6 na kuna moja kubwa ya kwenda airport ni balaa mi nilidhani wanajenga NAIROBI PEKEE kumbe hata miji mingine cc lazima tumerogwa
 
Pia ujenzi wa barabara za juu ni rahisi kuliko za chini, yaani ni kitu kinachowezekana kabisa, ukisha simamisha minguzo tu, unafunika juu, biashara kwisha! Nimeona kampala wanatengeneza ya kwenda air port kutokea mjini, yaani sijui wa tz tunanini jamani.
 
Laana ya kutomsikia baba wa taifa na mnataka kurudia tena hovyo kabisa ccm.tuwasikilize ukawa.waasimamia rasilimali za nchi.
 
Wakenya hangaikeni na Alshabu tu msituetee mambo yenu ya kizembe huku.

Pamoja na janga la Al shabab wanaweza kutatua matatizo ya wananchi wao; sisi amani tele tumeshindwa hata kukarabati "service roads" kupunguza foleni. Hakuna tunachoweza hata kimoja. Tupo tupo tu kama mataahira.
 
Pia ujenzi wa barabara za juu ni rahisi kuliko za chini, yaani ni kitu kinachowezekana kabisa, ukisha simamisha minguzo tu, unafunika juu, biashara kwisha! Nimeona kampala wanatengeneza ya kwenda air port kutokea mjini, yaani sijui wa tz tunanini jamani.

Tuna akili za kizamani
 
tuendelee kuichagua ccm ili tuendelee kuwa na amani na utulivu, hahahahahahahahahahahah
 
Wanahangaika na magaidi lakini bado wanasonga mbele, TZ hakuna majanga ya tsunami, vimbunga, magaidi tuna madini mpaka ambayo hayapatikani kwingine duniani, maziwa, mito, bahari, wanyama wa kila aina .... Kweli tumerogwa,na mchawi mwenyewe ni Magamba!

Nimuda Wa viongozi wazalendo
 
Back
Top Bottom