kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,333
- 21,427
Mkuu wa operesheni maalumu ameutangazia umma kama mzaha fulani kuwa wao wameuwa nane wao wataua wengi ni akatoa mfano kama wa mechi ya mpira
kwa kauli inaonyesha ni jinsi gani amepaniki na anayokwenda kuyafanya ni mauaji ya kimbari na yasio koma kwa msukumo wa hasira na kulipa kisasi unaenda kumuanzishia operation anamjua muhalifu.
jibu haumjui isipokuwa ni raia wanaozunguka eneo hilo hana uhakika kama wahalifu wanatoka mbali anatakiwa ajue hii vita si ya wakulima na wafugaji ila mapambano na wahalifu wenye tabia ya kuhama hama
kwa kauli yake ile ni kwenda kuwasulubu wengine wasio na hatia kuwaua na kuwachia wengine ulemavu na ujane na ukiwa usio na kikomo hebu fanyeni kazi zenu kimya kimya au ndio mnataka kuwashtua wahalifu waondoke kwa kuhofia wana silaha nzito mkaonee wasiohusika!
Angalizo boda boda kuweni makini operation itawahusu
Mkuu pangeni vitu kisayansi pasipo kukurupuka!