Nakuunga mkono ndugu yangu mwanamageuko. Tuliambiwa na wazazi toka enzi hizo kuwa mkamateni sana elimu kwani huyo ndiye uzima wako na taa ya kumlika njia ya maisha yako.Lakini wana wakizazi hiki cha nyoka wamekengeuka. hawaoni na kulejea yalewaliyo amabiwa na wazazi wao wakati wakipelekwa shule.
Watanzania wenzangu, wenye kupenda mabadiliko au mageuko, tulieni, tusife mioyo, bali tujue kuwa Giza linapo zidi ujue mapambazuko ya karibu. tutaiona tu ile nyota ya mashariki ing'arayo uonyesha pambazuko. Tuifuateni hiyo.
Miaka mitano si mingi sana. tuwe nasubira tu.
Kama wapenzi wanachama na mashabiki wa chadema watachukuwa maamuzi yasiyo sahihi, basi mjue tunawapa faida ya kutuwin 2015. mwajua wadanganyika wenzetu wanafuata siasa za upepo uvumao. Tujijengee imani dhabiti kwa wananchi wetu ili watuamini kuwa sis ni wasomi. na tulioshika usia wa wazazi wakati wanatupeleka shule.
tusiwape faidi hao majizi kusema kuwa sis ni wafujo, sisi tutaleta vita kama walivyozoe kusema. tuonyeshe ustaraabu wetu ya kuwa tumekombolewa na elimu tuliyopewa na wazazi wetu. Najua tunaye simba wa yuda. ambaye amepewa upanga ukatao kuwili utakao wamaliza mafisadi wote. Kila mwenye macho ameona yaliyo tokea na mwenye masikio amesikia waliyo yasema.
DR. Tuliza akili kaa chini ufikiri maamuzi utakayo yatoa yawe ya busara kuu.
Jah bless
Peace and love forever.