Wakati huu ndipo akili za watanzania zinajulikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati huu ndipo akili za watanzania zinajulikana

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamageuko, Nov 2, 2010.

 1. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Wazazi huwapeleka watoto wao waelimike, wapate maarifa na kuuepuka ujinga. Lakini watoto hao badala yake huwehuka na kutojua wanachokitaka ni nini:sad: HAPO HUANZA KWENDA KWENYE MAWAZO YA WENZI WAO!!:thinking: NA MWISHOWE WAZIMU WAO HUJULIKANA KWA MAANA WALE WAWAFUATAO WAKIWADHANI NI WENYE MANUFAA HUUONA WAZIMU ULIOMO NDANI MWAO!!! HUWA NAWASHANGAA, PALE WANAPOSHINDWA KUJUA TOFAUTI YA GIMBI NA PAPAI, KISHA WAKATAKA KUFANANISHA VISIVOFANANA VIFANANE:A S 114: JE MNASAHAU KWAMBA NINYI NDIO MNAOAMINIWA KUWA WATEULE WAJAO??? OLE WENU NYIE :flame:HIVI HAMJUI KWAMBA SIKU ZOTE JAHAZI HUPELEKWA KWA UPEPO? JE MNAACHAJE KASIA NCHI KAVU KWA KUTARAJIA UPEPO WA MSIMU??? AMKENI NA ZINDUKENI... :A S cry:
   
 2. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Inaendelea....

  zindukeni mjue mnachokitaka ni nini?? maandiko yanasema: na wala (hapana ampae mwanae jiwe badala ya mkate.)

  Itaendelea...
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Du! Kastori kanavutia.
   
 4. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 1,824
  Trophy Points: 280
  Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
   
 5. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,733
  Likes Received: 3,160
  Trophy Points: 280
  Tafuta elimu ndugu soma watu waangamia kwa kukosa maarifa. Elimu ufunguo wa maisha wape watoto elimu
   
 6. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Ni pale vijana wanapokula maharagwa kwa kuyakataa wakampiga jiwe mpita njia na kuchoma moto gari la Mwakipesile:A S angry: hiyo ndio elimu au ndio wehu wenyewe:A S-cry: ni pale hesabu ndogo ya toka kuzaliwa kwa mageuzi na unabii wa anguko kuu la sisiemu inapowashinda wasomi 1992 - 2015 (je hamjui kizazi hicho ndicho kitakachomwangusha goliath? je hamjui kwamba kizazi hicho kitapiga kura ambazo zitachachuliwa mpaka zitachacha na kuchachuka. Wingi wa kura hizo utakuwa mkubwa kiasi kwamba zitawalemea wataalamu wa kuchakachua. Hakika litakuwa ni anguko kuu. KWA UKOSEFU WA ELIMU NDIO MAANA LEO KELELE NI NYINGI UTAFITI NI MDOGO. Siasa za kufata upepo zimetawala. heb tazameni: Leo unaingia mtaani, unafanya vurugu, unapata kilema na kujiita mhanga wa mageuzi, hali ya uchumi kwa ila mmoja inaeleweka, leo anapata hicho kilema je wale wenye maslahi yao katika hilo watamjali??? Je wangapi wanaondoka na makundi yao kwenda kwingine... hapo natamani kusema maneno magumu sana lakini akh! wazeni na fungueni fikra Watanzania, amkeni na akili zetu ziende mbali. leo mnakimbia kugombea serikali za mitaa, mnasahau utawala huanzia huko. Mnataka kuzaa bila kupata mimba. mnataka kuvuna bila kupanda. Amkeni ndugu zangu:glasses-nerdy:
   
 7. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  ndio maana wanadhani kuchoma majengo na kufanya vurugu ndio kudai haki, kabla sijajua ilidhani hivyo pia:smile-big: kumbe yanahitajika maarifa kidogo tu... wakijichagua wenyewe wasuseni kisha muone kama watarudi tena:smile-big: na mkijichagulia mtu wenu watajua ya kwamba mmejichagulia wenu... SIPENDI YALE MAKUNDI YANAYOFUATA WATU. BALI NAPENDA MAKUNDI YANAYOAMUA YAFANYE NINI KWA WAKATI GANI KWA FIKRA SAHII NA ZENYE FAIDA NA MALENGO. NAOGOPA SANA KUFUATA NJIA NISIYOIJUWA KWA KUONGOZWA NA MGENI ASIYEJUA NJIA HIYO. KWA MAANA SIJUI AKH! LABDA NYIE MNAJUA HAPA JAMVINI:tape:
   
 8. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ....mwana wa adam yu karibu kuja kutukomboa......yametimia....:nono:
   
 9. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  :smile-big: Inafurahisha sana, kuona vile ninavyodhani kuwa ndivyo na kumbe sivyo. Inasikitisha sana kwamba vile nitakavo kuwa ndivyo na si vinginevyo.:A S angry: natamani sana iwe na sio isiwe lakini inakuwa nisivyotamani:doh: KIKOMBE HIKI KINIEPUKE KWA MAPENZI YAKE BABA
   
 10. r

  rastaman Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono ndugu yangu mwanamageuko. Tuliambiwa na wazazi toka enzi hizo kuwa mkamateni sana elimu kwani huyo ndiye uzima wako na taa ya kumlika njia ya maisha yako.Lakini wana wakizazi hiki cha nyoka wamekengeuka. hawaoni na kulejea yalewaliyo amabiwa na wazazi wao wakati wakipelekwa shule.
  Watanzania wenzangu, wenye kupenda mabadiliko au mageuko, tulieni, tusife mioyo, bali tujue kuwa Giza linapo zidi ujue mapambazuko ya karibu. tutaiona tu ile nyota ya mashariki ing'arayo uonyesha pambazuko. Tuifuateni hiyo.
  Miaka mitano si mingi sana. tuwe nasubira tu.
  Kama wapenzi wanachama na mashabiki wa chadema watachukuwa maamuzi yasiyo sahihi, basi mjue tunawapa faida ya kutuwin 2015. mwajua wadanganyika wenzetu wanafuata siasa za upepo uvumao. Tujijengee imani dhabiti kwa wananchi wetu ili watuamini kuwa sis ni wasomi. na tulioshika usia wa wazazi wakati wanatupeleka shule.
  tusiwape faidi hao majizi kusema kuwa sis ni wafujo, sisi tutaleta vita kama walivyozoe kusema. tuonyeshe ustaraabu wetu ya kuwa tumekombolewa na elimu tuliyopewa na wazazi wetu. Najua tunaye simba wa yuda. ambaye amepewa upanga ukatao kuwili utakao wamaliza mafisadi wote. Kila mwenye macho ameona yaliyo tokea na mwenye masikio amesikia waliyo yasema.
  DR. Tuliza akili kaa chini ufikiri maamuzi utakayo yatoa yawe ya busara kuu.
  Jah bless
  Peace and love forever.
   
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Rastaman, nakuunga mkono nikiwa na tahadhari kama ifuatavyo,
  1: amani haiji ila kwa ncha ya upanga.
  mkiwalegezea leo ccm next time watakuja na staili nyingine ambayo mtakuwa mara zote mnagundua too late, tumuonyeshe mungu kuwa
  akitupa kitu tunaweza kukitunza, kukilinda, kukitetea na kukiendeleza.
  2: tunasoma maandiko, yanasema "jua halitachwea leo kabla hamjaingia nchi ya ahadi.
  2:a. enzi ya joshua aliyempokea musa kuwaongoza wana wa yakobo kwenda nchi ya ahadi aliahidiwa na mungu ya kuwa ukombozi ulikuwa
  mikononi mwao kiasi kwamba jua halikwenda machweo mpaka ahadi ya MUNGU itimie!!
  usiuhalalishe wizi kwa namna na nahau yoyote, wala msemo au nahau iliyo na chembe chembe ya woga (if JAH is standing by my side
  why should i be afraid)
  fret not thyself because of evil dours, neither be thee envieous because of work of enequity, because they shall soon be cut down like grass.
   
 12. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Rastaman, Peace. Jogi Shukrani sana.

  HAKIKA, HAKIKA, Kwa hakika mmenipata vilivyo, ni wachache waliobarikiwa, wachache sana walionielewa. Kizazi hiki kinalalamikia kilipoangukia hakitaki kutazama kilipojikwaa.

  Wasioelewa haya tuliyoyasema:

  WATATUPELEKEA KUWA KAMA SOMALI, na kunyausha DEMOKRASI inayotaka kuchanua.
  TUNAPASWA KUJIPANGA, KWA UTULIVU NA UMAKINI MKUBWA KABISA.
  ama maandiko yakisema IMANI BILA MATENDO... hawaelewi??:yield:
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  :violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin:WAJINGA NDIO WALIWAO, CHA KUSIKITISHA WALE WENYE HALI DUNI, MPAKA KANDAMBILI ANAFUNGA NA PINI NDIO MISUKULE YA CCM. ILA LAZIMA UFANYIKE MKAKATI WA KIKANDA KUWAZINDUWA WATU. KATIKA MKOA UNAOONGOZA KWA MAJITU MAJINGA NI DAR ES SALAAM. THEN MIKOA MINGINE YAKUPEWA MKAZO ILI WATU WAELIMIKE WAZIJUE HAKI NI MIKOA HII HAPA, 1.RUVUMA 2.MOROGORO 3.TABORA 4.PWANI 5.MTWARA. HII MIKOA INATAKIWA IFANYIWE KAZI HASA MPAKA KUFIKIA UCHAGUZI UJAO WATAKUWA WAMEELIMIKA.
   
Loading...