Ndoa yoyote inapitia hatua tano muhimu.
Hatua ya pili ni wakati hatari sana kwa wanandoa bila ya msaada wa Mungu na ndio nitaiadress kwa leo:
Wanandoa:-
-Wanapoa: Taratibu na kawaida za kila siku na kushuka kwa msisimko vinaingia katika maisha ya wanandoa.Hali ya kujali inapotea kwa kiasi.
-Wanabishana: Hawajitoi tena wala hawaachilii haki zao tena.
-Wanajitetea: Hawataki kulaumiwa na wenzi wao kwa makosa yao,wanajitetea na kuanza kuwalaumu wenzao.
-Wanalaumiana: Sasa hakuna kinachokua sawa hata kidogo.
-Wanavunjika moyo: Ndoto za wanandoa hao hazitimii, wengine wanakosea kwa kujaribu kutafuta upendo kwa mtu mwingine.