Kama lowasa ni fisadi hata kikwete ni fisadi. Kujiuzulu kwa lowasa si kweli alikuwa fisadi ni uwajibikaji tu. Mbona Mwinyi alijiuzulu baadae akawa raid?
Ila wasilojua ni kuwa ni mtoto haramu ambaye mwisho wa siku anagundua kumbe hata kwenye orodha ya warithi hayupo.
Kama Nape kwa mzee Nnauye, yeye aliambulia jina tuu
nahisi mtoa maada umekurupuka hujatueleza kinachojengwa na kinaxhobomolewa n nini? na utuambie we unataka wafanyeje ili nao wajenge na wasibomoe kama ulivoeleza/
Duh! YAANI KIONGOZI WA WATU, MIONGONI MWA WATU, KWA AJILI YA WATU ANAKUBALI KUFANYIWA UPUUZI SAMPULI HII? KWAKWELI BADO KABISA TUNAHITAJI UKOMBOZI WA KIFIKRA!
Kuchimba shimo ni kazi na kulifukia ni kazi vile vile lakini ya kufukia ni rahisi.
Nami bado naangalia tambo zilizomtoa zzk cdm alafu naona watu ambao tunaaminin wana akili kama tulivyomwamini yeye wanamfuata, ndio nasema historia itatueleza ukweli huu!
Sasa ndio nimeamini Chama cha ACT ni mpini wa kudhoofisha upinzani.
Chadema imekuwa ikijijenga siku hadi siku na mpaka sasa inaendelea kupokea viongozi mbalimbali kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kibaya zaidi, wakati wakijenga chama, ACT wanabomoa.
Duh! YAANI KIONGOZI WA WATU, MIONGONI MWA WATU, KWA AJILI YA WATU ANAKUBALI KUFANYIWA UPUUZI SAMPULI HII? KWAKWELI BADO KABISA TUNAHITAJI UKOMBOZI WA KIFIKRA!