Wakala wa CHADEMA kwenye zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura kituo cha VETA Buhongwa Mwanza hajala wala kunywa chai tokea asubuhi

Dopaminergic

Member
Oct 12, 2019
7
2
Amelalamika Sana amesema ametelekezwa anatamani zoezi liishe hata Leo huku yule wa CCM akila wali nyama ya kuku nikaona kwa sababu siasa sio uadui nilimpa tsh 20000 itakayomsaidia kwa chakula cha Leo na kesho amenishukuru sna akaniuliza kama nilichukua fomu ya kugombea nikamwambia kwa ss sna mpango wa kugombea nafasi yoyote japo nina ndoto ya kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya sita baada ya Dr MAGUFULI
 
Ndio maana unaambiwa maendeleo hayana chama ubarikiwe sana mkubwa
 
Amelalamika Sana amesema ametelekezwa anatamani zoezi liishe hata Leo huku yule wa CCM akila wali nyama ya kuku nikaona kwa sababu siasa sio uadui nilimpa tsh 20000 itakayomsaidia kwa chakula cha Leo na kesho amenishukuru sna akaniuliza kama nilichukua fomu ya kugombea nikamwambia kwa ss sna mpango wa kugombea nafasi yoyote japo nina ndoto ya kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya sita baada ya Dr MAGUFULI
Hii nayo ni habar?pumbavu
 
Sio lazima kula. Unaweza kuamua kufanya mambo yako kwa siku moja bila kula. Taifa lenye kuwaza kula kula haliendelei. Yaani unakuta mtu akimaliza kula mchana, anaanza kuwaza atakula nini jioni, akimaliza jioni anawaza atakula nini asubuhi yake; Tutawaza mambo ya maendeleo na uzalishaji saa ngapi? Ndio maanna watu weupe wametugundua. Ukifika Paris kwa ajili ya kusaini mikataba ya madini, basi wanahakikisha unapelekwa jumba lenye kila kinywaji, kila chakula, maji na vyote vya tumboni. Baada ya hapo unasaini 3% kwa 97%.
 
Amelalamika Sana amesema ametelekezwa anatamani zoezi liishe hata Leo huku yule wa CCM akila wali nyama ya kuku nikaona kwa sababu siasa sio uadui nilimpa tsh 20000 itakayomsaidia kwa chakula cha Leo na kesho amenishukuru sna akaniuliza kama nilichukua fomu ya kugombea nikamwambia kwa ss sna mpango wa kugombea nafasi yoyote japo nina ndoto ya kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya sita baada ya Dr MAGUFULI
Mkuu ukianza kusema haya, na sisi wengine tukisema tunayoyaona huku si hatari.

Kuna mawakala hapo huku Mpigamiti-Liwale wanashindia Mabibo tu, na jua likiwa kali wanalala kwa sababu kichwa kinakuwa kimevurugika na mabibo.
 
Amelalamika Sana amesema ametelekezwa anatamani zoezi liishe hata Leo huku yule wa CCM akila wali nyama ya kuku nikaona kwa sababu siasa sio uadui nilimpa tsh 20000 itakayomsaidia kwa chakula cha Leo na kesho amenishukuru sna akaniuliza kama nilichukua fomu ya kugombea nikamwambia kwa ss sna mpango wa kugombea nafasi yoyote japo nina ndoto ya kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya sita baada ya Dr MAGUFULI
Mnachojua ni hiki tu
FB_IMG_1570960151009.jpeg
 
Back
Top Bottom