Wakaka acheni umario, mjishughulishe.

Ila haya matango ya kimarioo ndo unajikut unapat hisia za kibamiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Miss
Amani iwe nyumbani mwako

Umeandika jambo la msingi na la muhimu lakini unatakiwa kuimarisha stadi zako za uandishi ili uweze kuwa unaandika vitu vyenye kuleta mtiririko mzuri wakati wa kusoma.

Amani iwe nawe.

Asalaam Aleikhum
 
Sawa mwandishi mahirii.
 
WEEK END NJEMA , MTOA MADA .... LEO JUMA2 INAFAA SANA KUPATA KA JAMAA KA KUKUGUSA , KUNAKO , NICHEKI INBOX NOW NA DRIVE premio kangu kuelekea SOUTH BEACH , so kama hukinijali ni cheki nikufuate ulipo maana USAFIRI NI UHAKIKA .
Sina hela ya kukuwekea mafuta kapremio chako ndo shida so kajisugue mwenyew tuu hakuna namna ha ha haaa.
 
watu tupo very opportunistic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…