Waje kweny uteteziii, ha ha haaa.Nimewahi siti ya mbele nikisubiri Mario waje[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama yupo wa namna hiyo, jua huyo ni shoga;wanaume hatuko hivyoNi sawa kipind hichi cha maisha wanaume nao wana ile tabia ya kutaka mwanamke ambaye kimsingi nae ni mchakarikaji ili msaidie ilo ni sawa, ila mambo kama yamebadilika wanaume wamekua wavivu wakitak wapate kwa wanawake.. asa kweny kutafuta wenza kama huku akion umesem una ajira huyoo fastaaa akat anajijua yeye hata hajishughulishi maan kutokua na ajira sio kigezo cha kutojishughulisha wanaume.. kiuongo ili umkubal atajifanya ana mikakati mingi ya maisha afu unashangaa akija kwako tu kuonana anakaa mwez unaanza kupata maswali hiyo miradi huko anaangalia nan ha ha haa kumbe ndo alivyojiwekea awe anaishi na mwanamke amlishe kila kitu yeye akae tuu.
Nimeshindwa kushangaa, wanapewa 50 yao wanaanza kulia lia, ama kweli kama hujui unakokwenda, huwezi potea.Sawa mama tumekusikia sisi wahusika maana kila baya limekuwa letu wakati nyinyi ndio mlilianzisha 50/50
Ukiona manyoya umeliwaNi sawa kipind hichi cha maisha wanaume nao wana ile tabia ya kutaka mwanamke ambaye kimsingi nae ni mchakarikaji ili msaidie ilo ni sawa, ila mambo kama yamebadilika wanaume wamekua wavivu wakitak wapate kwa wanawake.. asa kweny kutafuta wenza kama huku akion umesem una ajira huyoo fastaaa akat anajijua yeye hata hajishughulishi maan kutokua na ajira sio kigezo cha kutojishughulisha wanaume.. kiuongo ili umkubal atajifanya ana mikakati mingi ya maisha afu unashangaa akija kwako tu kuonana anakaa mwez unaanza kupata maswali hiyo miradi huko anaangalia nan ha ha haa kumbe ndo alivyojiwekea awe anaishi na mwanamke amlishe kila kitu yeye akae tuu.
KwakweliiKama yupo wa namna hiyo, jua huyo ni shoga;wanaume hatuko hivyo
Sasa hivi inaelekea 100 kwa 0Sawa mama tumekusikia sisi wahusika maana kila baya limekuwa letu wakati nyinyi ndio mlilianzisha 50/50
Vibamia vyenye kujua majukum km mwanaume tunaonag tango tuuuMario Wamekusikia nadhani watakuja muda si mrefu ila je na sisi vibamia tunacomment wapi?