Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Jul 21, 2014 #1 Habari wadau, Nilikua nauliza kwa wenyeji wa bagamoyo, maeneo gani mazuri yenye bei nafuu naweza kwenda na bibiye weekend hii kuikaribiisha Idd.. Tunataka fikia sehemu ambayo karibu na Beach, Isiwe rural sana..
Habari wadau, Nilikua nauliza kwa wenyeji wa bagamoyo, maeneo gani mazuri yenye bei nafuu naweza kwenda na bibiye weekend hii kuikaribiisha Idd.. Tunataka fikia sehemu ambayo karibu na Beach, Isiwe rural sana..