Wajuzi; Million 10 itanifikisha wapi kwa ujenzi dodoma mjini!?

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,355
789
Bajeti ndo hyo, kiwanja ninacho kipo pazuri hakina gharama, nimechoshwa na wenye nyumba za urithi mabwege wasio na msimamo wanoweza kususia kodi na kuja kukudai muda ambao pesa ushatumia, nyumba ni ya kawaida tu room 3 dining, master jiko, poa tu
Please wataalam niwekeni wazi naweza kusavaivu kidogo na hko kiasi walau nikaanza jeuri ya kumtukana huyu mwenyenyumba yangu maajinuni fedhuli huyu.!?
 
Kwa 10 m utaweza fanya yafuatayo
1. Kupata kibali CDA
2. Setting ya msingi na uchimbaji wake
3. Tofali 2500 za ujenzi
4. Mifuko 50 ya cement
5. Gharama ya fundi kusimamisha boma
Hapa pesa yako itakuwa inakaribia kuisha...kama itabaki labda unaweza funga renta basi
 
Millioni 10 itakufikisha kwenye kupata boma lililopigwa bati kabisa.

Hapo hujaweka madirisha na milango na mbwembwe nyingine za finishing....
 
Asante kaka walau nikifika kwenye linta tu tashukuru
hiki kiasi nataka kukomaa nacho
Msingi nataka wa mawe vp naweza kupata jeuri kidogo mdau!?
 
Utaweza mkuu...hapo ni kama tripu 10 tu za mawe...kwa hiyo pesa utamudu
 
Asante kaka walau nikifika kwenye linta tu tashukuru
hiki kiasi nataka kukomaa nacho
Msingi nataka wa mawe vp naweza kupata jeuri kidogo mdau!?
Kwa hali ya udongo wa Dodoma msingi wa mawe ni mzuri kuliko wa tofali. Ardhi ya Dodoma ina chumvi sana na inamung'unya tofali, hivyo msingi wa mawe ni mzuri na utastahimili kwa muda mrefu.
 
Shukrani mdau ngoja nijaribu kukomaa nione tafikia wapi aisee
Nitaleta mrejesho hapa
 
Kwa hali ya udongo wa Dodoma msingi wa mawe ni mzuri kuliko wa tofali. Ardhi ya Dodoma ina chumvi sana na inamung'unya tofali, hivyo msingi wa mawe ni mzuri na utastahimili kwa muda mrefu.
Inategemea dodoma enro gani...si maeneo yote...nyumba yetu Area C ilijengwa 1983 mpaka leo ukiiona ipo strong though na renovation tunafanya..
 
Millioni 10 itakufikisha kwenye kupata boma lililopigwa bati kabisa.

Hapo hujaweka madirisha na milango na mbwembwe nyingine za finishing....
Shukrani mkuu wanitia moyo ngoja nijaribu taleta mrejesho hapa
 
Inategemea dodoma enro gani...si maeneo yote...nyumba yetu Area C ilijengwa 1983 mpaka leo ukiiona ipo strong though na renovation tunafanya..
Nimejaribu kuangalia eneo kubwa la Dodoma linasumbuliwa sana na hiyo hali. Kwa majengo ya zamani hiyo hali ni nidra sana kuiona, lakini ukitembelea Kisasa, Ipagala, Nkuhungu, Kikuyu na Area E ambako majengo mengi ni mapya utaona hali inavyojitokeza. Sasa labda ubora wa sementi wa enzi hizo au ni aina ya udongo ya vijieneo vidogovidogo hapo wajuzi watatueleza.
 
Shukrani mkuu wanitia moyo ngoja nijaribu taleta mrejesho hapa
Ok mkuu.

Fanya kitu usiogope, siri moja ya ujenzi huwa hauishi.

Hakuna aliyeanza kujenga akamaliza, hata ukiwa na milioni 100 ukajenga hutamaliza, utaendelea kuweka vikororo kibao.

Cha msingi ni kuanza tu na ulicho nacho.
 
Shukrani mdau
Tuko pamoja
 
Back
Top Bottom