iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Nawashauri wajumbe wa NEC wajiandae kisaikolojia kukatwa katika uchaguzi wa ndani utakaofanyika mwaka huku.
Hii ni pamoja na wale ambao hawakuonekana lakini wamechunguzwa(labda na kudukuliwa mawasiliano yao kuanzia 2013-2015) kwamba katika uchaguzi wa mwaka huu watakatwa.
Makatibu wa Mikoa wao panga limeshapita, karibu asilimia 85 wataondolewa ofisini pamoja na wale wa wilaya.
Mtikisiko bado unakuja!