DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Wajumbe na mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Miburani wakiwa wanahakiki majina kwa ajili ya kupiga kura za maoni kuchagua diwani wa Kata ya Miburani na Mbunge wa Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam.
Leo Jumatatu Agosti 4, 2025 wajumbe wa CCM wanapiga kura za maoni kuwachagua wabunge na madiwani nchi nzima.
Leo Jumatatu Agosti 4, 2025 wajumbe wa CCM wanapiga kura za maoni kuwachagua wabunge na madiwani nchi nzima.