MEKADDISHKEM Senior Member Joined Sep 15, 2016 Posts 154 Reaction score 151 Jul 26, 2020 #1 Wote tumeshuhudia katika mchakato huu wa kura za maoni wajumbe wakifanya Yao Wamekula vichwa mwendo wa spana tu Itoshe kusema wajumbe ni wajuba walio changamkaView attachment 1516983
Wote tumeshuhudia katika mchakato huu wa kura za maoni wajumbe wakifanya Yao Wamekula vichwa mwendo wa spana tu Itoshe kusema wajumbe ni wajuba walio changamkaView attachment 1516983
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,813 Reaction score 10,446 Jul 26, 2020 #2 ahahah wameunga mkono juhudi hamna kukata tena
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,677 Jul 26, 2020 #3 Kyela moja hiyo, Mwakyembe chali na degree zake kikundi
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,177 Reaction score 14,156 Jul 26, 2020 #4 Na watumishi waliotia nia watafute namna ya kusurvive mwezi huu.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Jul 26, 2020 #5 stand tukielekea mji mkuu.View attachment 1517164 Attachments IMG-20200725-WA0035.jpg 81.4 KB · Views: 12
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Jul 26, 2020 #6 Hao wajumbe sio wajinga kama stive nyerere na mwijaku wanavyosema. Hao majamaa wamepiga kura kwa watoa hela,tupo nao mtaani hata jana wamepiga kura za madiwani,inshort wakati huu wa uchaguzi wanakula bata vizuri
Hao wajumbe sio wajinga kama stive nyerere na mwijaku wanavyosema. Hao majamaa wamepiga kura kwa watoa hela,tupo nao mtaani hata jana wamepiga kura za madiwani,inshort wakati huu wa uchaguzi wanakula bata vizuri