Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Wajumbe wa kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wakiongozwa na Prof. Mwesiga Baregu na waziri mkuu mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa wakiwa katika mkutano mkuu maalum wa wilaya ya Misenyi uliofanyika katika eneo la Bunazi ikiwa ni sehemu ya ziara ya Kamati Kuu kukagua uhai wa chama na kukutana na viongozi wa chama ngazi ya chini.