sharon hakutaka kuuza sijui km 16 za gaza,sharon aliondoa majeshi ya israel gaza bahada ya hamas kuanzisha mashambulizi ya kujilipua,waisrael waliona bora wajiondoe gaza ili wapunguze hasara waliyoanza kuipata kwa kukalia gaza,kama ulikuwepo miaka ile ya 90 ndo wimbi la kujitoa mhanga lilianzishwa na hamasi,na wakati huo gaza ilikua chini ya jeshi la israel