Unajua KIJANI ni kama Kilabu cha pombe za msimu.
Kijijini kwetu msimu wa Ulanzi huambatana na hali njema ya kiuchumi.
Hivyo kila mtu anauwezo wa kutia nia(kuzungusha raundi) ya ulanzi,usio chakachuliwa sambamba na mahindi ya kuchoma na hiki ndicho kinachoendelea kwa chama kijani zao la FIVE na WASHIHIRI.(si watapata m200 bana) Chama kimetukosea adabu kiasi kwamba kinatuaminisha eti,Rais ni muarubaini wa matatizo ya sisi masikini.
Rais ndiye masia na ndie Musa na ndie haruni wakutufikisha katika nji ya asali.
Aibu ni kwamba wote wanaotia nia wamo humo humo na wanafanya matusi mchana kweupe mbele ya macho yetu na kuamua kutugeuza kinyume na ''fikra zetu'' eti wao ni wakombozi.
ENDELEENI KUTIA NIA MFIKE MIA. CHAMA MUWE NA ADABU.