'Wajanja wa Sinza' Watembelea Viatu vya Kulalia

'Wajanja wa Sinza' Watembelea Viatu vya Kulalia

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
1 copy.jpg
 
Pichani ni sehemu ya barabara kutoka Bamaga kuelekea Afrikasana Sinza jijini Dar ikiwa hoi bin taaaban baada ya kufunikwa na maji kufuatia mvua ambazo zimekuwa zikiendelea kunyesha jijini,aidha mafuriko hayo yamekuwa yakisababishwa pia na mitalo mingi ya eneo hilo kuzibwa na takataka zinazotupwa holela,matokeo yake maji yamekuwa yakikosa muelekeo.Idara husika wanapaswa kulifanyia kazi ipasavyo eneo hilo kwani limekuwa ni kero kubwa kwa wanaotumia barabara hiyo kila wakati kwenda kwenye shughuli zao za kila siku.

 
Dar es salaam hbr zake unatengeneza series haki ya nani.
 
sinza hata barabara za mtaani ni shida tupu hazipitiki. kama ile barabara ya kwa mheshimiwa maeneo ya mawela bar ni hatari
 
Wengine wanashinda kando ya maji hayo kwa ajili ya soft pons wadada wanavyovuta nguo juu ili wavuke maji
 
Back
Top Bottom