Wajanja wa Arusha

Hueleweki mtoa mada...kwa hiyo waimbaji wa Arusha ni wavuta bangi?? Acha pigo za kiwhack
 
Tupia neno moja kwa hawa Wajanja wa Arusha....inaonekana Bangi ni jadi yao

unajua bobmaley aliharibu kizazi chetu na anazidi kukiharibu hadi dunia itakapoisha. hapo akili ni nusu akili nusu mibange.
 
Watu wa Arusha wanafanana sana kuvaa na watu wa Njombe.
 
Huyo m1 mwanaJF mzuri sana...ngoja nimPM aje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…