Wajameni Rais wa Sudan!

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Wanajamvi yule rais anayetafutwa na Ocampo yupo Malawi anahudhuria mkutano wa Comesa
 
Unajua huyu kiongozi wa Sudan kaskazini analindwa na AU kwa sababu AU wamesema hawataki UN imchukulie hatua yoyote. Ila lile ambo limemtokea Ghadafi limenifunza jambo moja kuwa viongozi wengi wa Afrika ni vigeugeu. Ghadafi alitetewa na AU mwanzoni lakini sasa hivi ameonekana sio kitu. Kwa hiyo hata huyu Omar Bashir nahisi hatoweza ku-survive kwa muda mrefu. Na hii inasababishwa na Mataifa mengi ya Afrika kukosa umoja ulio wa dhati.
 
Back
Top Bottom