Waitara aanza kwa kishindo Buyungu

majambazi ya kisiasa haya, yanatuibia watanzania
 
Alikimbizwa fasta kwenda kuongeza nguvu kwenye kambi ya kampeini ya moja ya wagombea wa ccm mkoani kigoma wakiamini ushawishi aliokuwa nao akiwa cdm baada ya kuvalishwa gamba lao hii ndio adha aliyo ipata,kaambulia wana ccm 20 tu
 
Sasa mbona hapo hujapiga picha kutokea meza kuu!?
 
Uzuri wa ccm wao ni kata kwa kata,nyumb kwa nyumba mtu kwa mtu
Hao wote watapigia kura ccm,ukichangana na wengine vijiji vingine kura zinatosha
Nyie subirini hedikopta ijaze watu badae wanatimka kura zikihesabiwa mnalia mmeibiwa
 
wanao hamahama wote ni majambazi wa kisiasa, wanapora hazina yetu
 
Uzuri wa ccm wao ni kata kwa kata,nyumb kwa nyumba mtu kwa mtu
Hao wote watapigia kura ccm,ukichangana na wengine vijiji vingine kura zinatosha
Nyie subirini hedikopta ijaze watu badae wanatimka kura zikihesabiwa mnalia mmeibiwa
Kwa kigoma mjiandae kusonyana maana hakuna anayekubali kugeuka jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…