Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,737
- 24,821
- Thread starter
-
- #41
Miongoni mwa mambo ambayo yatawaingiza watu wengi Motoni ni mdomoBora ufuge majini ili uwe tajiri kama bakhresa kuliko ukapuku ulionao bablay
Nimekupa mfano tu ..acha ujingaMiongoni mwa mambo ambayo yatawaingiza watu wengi Motoni ni mdomo
Hivi ukiambiwa udhibitishe kuwa bakhresa anafanya hivyo utaweza?
Tumuogope mungu
Wewe pia thibitisha huko motoni kupo kweli.Miongoni mwa mambo ambayo yatawaingiza watu wengi Motoni ni mdomo
Hivi ukiambiwa udhibitishe kuwa bakhresa anafanya hivyo utaweza?
Tumuogope mungu
Sawa mkuu nitaacha usijaliNimekupa mfano tu ..acha ujinga
Ah Mzee wa freemasons karibu sanaWewe pia thibitisha huko motoni kupo kweli.
Sawa mkuu, Una Uhuru WA kuamini upendavyo.Maimuna ni muislam sijawahi msikia huyo jini kwa wakristo
Ndugu zetu wangekuwa wanafuga nyuki hii nchi ingekuwa ya asali tupu, kila mtu Ana jini lake
Majini ni viumbe vyake Mnyaazi.Kumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo.
Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko;
((Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.))
51:56
Kwahiyo Majini na wanadamu waliumbwa Kwa lengo moja Tu la kumwabudu Mola wao na sio vinginevyo.
Lakini bahati mbaya Sana kuna baadhi ya waislamu ambao hushirikiana na majini katika mambo Yao,na hii sio waislamu Tu hata baadhi ya watu ambao sio waislamu hufanya hivyo pia,iwe Kwa kupiga ramli,kufanya miujiza huko kwenye nyumba za ibada na kadhalika.
Ila mazungumzo yangu Leo hapa nazungumza na waislamu, kuna baadhi ambao huwa na haya maruhani/majini ambayo wenyewe huyaita majini Waziri kwakuwa Tu yanawasaidia katika mambo Yao. Naomba niwaambie kuwa hakuna majini mazuri ambayo yanakaa mwilini mwa mtu hata kidogo,hayo ni mabaya na machafu,jini ambaye ameumbwa ili kumwabudu Mola wake hawezi kuja kufanya makazi katika mwili WA mtu kwakuwa hayo ni makosa na amekiuka sababu ya kuumbwa kwake kabisa.
Wanao mwabudu Mola wao wapo kwenye makazi Yao ya kijini na wanaendesha Maisha Yao huku wanamwabudu Mola wao,kwahiyo acheni kuwa watumwa WA hayo majini,kwani hakika mwisho wenu utakuwa sio mzuri.
Ebu tuangalie maongezi haya ya majini kama yalivyoelezwa katika Qur'an ;
((Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.))
72:6
Haya ni maongezi ya Majini baada ya kusikia Qur'an na kumwamini Mola wao,ndio wanahadithia kuwa kuna wanadamu wanaume ambao walikuwa wanatafuta hifadhi toka Kwa majini lakini matokeo yake wakazidishiwa madhambi. Na huo ndio ukweli kuna watu ambao wanaamini majini kuwa ndio watawalinda hapa duniani,na huwa hawafanyi Jambo lolote mpaka washaurieni na majini wao,hakika hiyo ni kufuru kubwa kumwamini kiumbe wa Mwenyezi Mungu kuwa ndio anakuwezesha kufanikiwa Kwa mambo hapa duniani.
Na mwisho wa siku shetani/ hayo majini machafu ambayo yameacha kusudio la kuumbwa kwao na kuja kushirikiana na wanadamu,mwisho wa siku yatawakana na kuwaambia ukweli, tuangalie Aya ifuatayo;
(Na Shet'ani atasema itapo katwa hukumu: Hakika Mwenyezi Mungu alikuahidini ahadi ya kweli. Nami nalikuahidini; lakini sikukutimizieni. Na sikuwa na mamlaka juu yenu, isipo kuwa nilikuiteni, nanyi mkaniitikia. Basi msinilaumu mimi, bali jilaumuni wenyewe. Mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu. Hakika mimi nilikataa tangu zamani kunishirikisha na Mwenyezi Mungu. Hakika madhaalimu watakuwa na adhabu chungu).
14:22
Hakika kuna Aya nyingi Sana juu ya majini kuwapotosha wanadamu na kuwaingiza Motoni,kubwa ni kujua kwamba hakuna majini ambao wanatakiwa kushirikiana na binadamu kwani wao Wana Maisha Yao na wanadamu tuna yetu,ushirikiano wowote baina yetu ni upotovu na mwisho wake ni jehenamu.
Mambo mengi na Mda ni mchache!
Ni hayo Tu!
Sijui kama umesoma Uzi wote au ndio nyie mnao komenti tuu kichwa kichwaMajini ni viumbe vyake Mnyaazi... Na ndiyo viumbe vya kwanza kabisa kusilimu kuwa Waislamu ndo wakafuata Binadamu. Walisema hii ndiyo dini inayomwabudu Mola wao. Wewe unaleta maandiko gani kutaka kutupotosha?
Hujajibu swali nililouliza na ulilojibu sijauliza.Ah Mzee wa freemasons karibu sana
Sawa mkuuHujajibu swali nililouliza na nililouliza hujajibu.
Hujathibitisha huo moto upo.
Mimi siwezi kuwa freemason. Kuwa freemason ni lazima uamini katika aina fulani ya Mungu. Mimi siamini Mungu yeyote.
Wewe unayeamini moto, presumably na Mungu, uko karibu na Freemasons kuliko mimi nisiyeamini kuwepo kwa moto wala Mungu.
Chukua hili kama somo la leo.
Mwislam asiye mnafiki? Theres hope for mankindMimi huwa mkweli katika Jambo la ukweli,sikatai kwamba hakuna masheikh ambao wanafanya hivyo,wapo na hao ni Wale wanao fanya uganga.
Lakini Dini hairuhusu ushirikina ,kwahiyo hao wahukumiwe Kwa matendo Yao na sio dini
Haya si maoni, hizi ni facts.Sawa mkuu
Maoni yako yatazingatiwa!
Karibu sana
Shida ipo sehemu moja tu wakristo wengi hawana elimu juu ya uislam kwaiyo wanamezeshana propaganda sana juu ya uislam.
Lakini bado sioni tatizo kuitwa wafuga majini kama ufugi uwezi chukia kitu ukiona unakasilika ujue unayafuga.
Unajua mkuu,ukiona mtu Tu anapinga kitu hata kama ukweli unajulikana ujue hawaongopei watu Bali anajiongopea mwenyeweMwislam asiye mnafiki??? Theres hope for mankind
Mwislam asiye mnafiki??? Theres hope for mankind
Je wewe waeza kudhibitisha kuwa haupo?Haya si maoni, hizi ni facts.
Huwezi kuthibitisha huo moto upo, kwa sababu haupo.
Siwezi kuwa Freemason, kwa sababu siamini uwepo wa Mungu.
Bisha.
Asante mkuuA
Avatar ndo bwana ako wa kislam
Kwamba na mm nitapata bwana wa kislam😁 shindwa pepo huyo ni bwana ako ishi naeAsante mkuu
Siku zote aliwazalo mjinga ndio humtokea
Karibu sana
Elimu hiyo tunayo Sana,,Ila hapa si mahala pakeWaislam wana elimu juu ya ukristo?