jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,139
- 42,751
Hatari sana..ndio mana wanajiripua na kuua wengine kwasababu wanakuwa wamepandwa na majini vichwani mwao..mtu wa kawaida hawezi wafanya huu upuuzi.Hata uwambie nini jamaa yangu hao hawastuki, Salman kawaeleza kilakitu badala ya kutafakari wanatumia mapanga na mabomu na vitisho vya kumchinja na kuficha alichowaonya.
Hapo wanawa ogopesha wengine wasije kuuweka hadharani ukweli wa dini yao.
Nabii Isaya alisema kuhusu hao jamaa.
Mathayo 13:14 Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.
15 Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakasikia kwa masikio yao, Wakaelewa kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.
Nabii wao ndio Nabii pekee aliyefanikisha kumsilimisha Ibirisi yaani shetani na Malaika zake Majini sasa hivi wote ni Waislamu safi.
Wote kwa pamoja sasa wamekuwa waumini watiifu wa Allah.
Mganga kama hajui kusoma Quran jua umepigwa. Sijui kuna uhusiano gani ya uchawi (majini), Quaran na lugha ya kiarabu. Wajuvi mtupe darsa mujarab kuhusu hili.Kumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo.
Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko;
((Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.))
51:56
Kwahiyo Majini na wanadamu waliumbwa Kwa lengo moja Tu la kumwabudu Mola wao na sio vinginevyo.
Lakini bahati mbaya Sana kuna baadhi ya waislamu ambao hushirikiana na majini katika mambo Yao,na hii sio waislamu Tu hata baadhi ya watu ambao sio waislamu hufanya hivyo pia,iwe Kwa kupiga ramli,kufanya miujiza huko kwenye nyumba za ibada na kadhalika.
Ila mazungumzo yangu Leo hapa nazungumza na waislamu, kuna baadhi ambao huwa na haya maruhani/majini ambayo wenyewe huyaita majini Waziri kwakuwa Tu yanawasaidia katika mambo Yao. Naomba niwaambie kuwa hakuna majini mazuri ambayo yanakaa mwilini mwa mtu hata kidogo,hayo ni mabaya na machafu,jini ambaye ameumbwa ili kumwabudu Mola wake hawezi kuja kufanya makazi katika mwili WA mtu kwakuwa hayo ni makosa na amekiuka sababu ya kuumbwa kwake kabisa.
Wanao mwabudu Mola wao wapo kwenye makazi Yao ya kijini na wanaendesha Maisha Yao huku wanamwabudu Mola wao,kwahiyo acheni kuwa watumwa WA hayo majini,kwani hakika mwisho wenu utakuwa sio mzuri.
Ebu tuangalie maongezi haya ya majini kama yalivyoelezwa katika Qur'an ;
((Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.))
72:6
Haya ni maongezi ya Majini baada ya kusikia Qur'an na kumwamini Mola wao,ndio wanahadithia kuwa kuna wanadamu wanaume ambao walikuwa wanatafuta hifadhi toka Kwa majini lakini matokeo yake wakazidishiwa madhambi. Na huo ndio ukweli kuna watu ambao wanaamini majini kuwa ndio watawalinda hapa duniani,na huwa hawafanyi Jambo lolote mpaka washaurieni na majini wao,hakika hiyo ni kufuru kubwa kumwamini kiumbe wa Mwenyezi Mungu kuwa ndio anakuwezesha kufanikiwa Kwa mambo hapa duniani.
Na mwisho wa siku shetani/ hayo majini machafu ambayo yameacha kusudio la kuumbwa kwao na kuja kushirikiana na wanadamu,mwisho wa siku yatawakana na kuwaambia ukweli, tuangalie Aya ifuatayo;
(Na Shet'ani atasema itapo katwa hukumu: Hakika Mwenyezi Mungu alikuahidini ahadi ya kweli. Nami nalikuahidini; lakini sikukutimizieni. Na sikuwa na mamlaka juu yenu, isipo kuwa nilikuiteni, nanyi mkaniitikia. Basi msinilaumu mimi, bali jilaumuni wenyewe. Mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu. Hakika mimi nilikataa tangu zamani kunishirikisha na Mwenyezi Mungu. Hakika madhaalimu watakuwa na adhabu chungu).
14:22
Hakika kuna Aya nyingi Sana juu ya majini kuwapotosha wanadamu na kuwaingiza Motoni,kubwa ni kujua kwamba hakuna majini ambao wanatakiwa kushirikiana na binadamu kwani wao Wana Maisha Yao na wanadamu tuna yetu,ushirikiano wowote baina yetu ni upotovu na mwisho wake ni jehenamu.
Mambo mengi na Mda ni mchache!
Ni hayo Tu!
Mkuu hii imekaaje?Mimi nna Rafiki yangu wa kijini, ila yeye Ni wa ibada Sana, na hakai mwilini mwangu, ila huwa anakuja kwa umbo la kibidamu baadae anatoweka, Ni mshakaji tunapiga story Sana, kila alhamisi ndio inakuwa siku yake yakuja kibindamu ,na ijumaa, nimeegundua kumbe chakula chao Ni mifupa pia,na mabaki ya vyakula walioacha binadamu baadhi
weeni kumWaislam wote mnafuga majini.......acheni kujitetea
Ukiona huna jini Basi ujue ww bado upo shallow sana
Kumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo.
Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko;
((Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.))
51:56
Kwahiyo Majini na wanadamu waliumbwa Kwa lengo moja Tu la kumwabudu Mola wao na sio vinginevyo.
Lakini bahati mbaya Sana kuna baadhi ya waislamu ambao hushirikiana na majini katika mambo Yao,na hii sio waislamu Tu hata baadhi ya watu ambao sio waislamu hufanya hivyo pia,iwe Kwa kupiga ramli,kufanya miujiza huko kwenye nyumba za ibada na kadhalika.
Ila mazungumzo yangu Leo hapa nazungumza na waislamu, kuna baadhi ambao huwa na haya maruhani/majini ambayo wenyewe huyaita majini Waziri kwakuwa Tu yanawasaidia katika mambo Yao. Naomba niwaambie kuwa hakuna majini mazuri ambayo yanakaa mwilini mwa mtu hata kidogo,hayo ni mabaya na machafu,jini ambaye ameumbwa ili kumwabudu Mola wake hawezi kuja kufanya makazi katika mwili WA mtu kwakuwa hayo ni makosa na amekiuka sababu ya kuumbwa kwake kabisa.
Wanao mwabudu Mola wao wapo kwenye makazi Yao ya kijini na wanaendesha Maisha Yao huku wanamwabudu Mola wao,kwahiyo acheni kuwa watumwa WA hayo majini,kwani hakika mwisho wenu utakuwa sio mzuri.
Ebu tuangalie maongezi haya ya majini kama yalivyoelezwa katika Qur'an ;
((Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.))
72:6
Haya ni maongezi ya Majini baada ya kusikia Qur'an na kumwamini Mola wao,ndio wanahadithia kuwa kuna wanadamu wanaume ambao walikuwa wanatafuta hifadhi toka Kwa majini lakini matokeo yake wakazidishiwa madhambi. Na huo ndio ukweli kuna watu ambao wanaamini majini kuwa ndio watawalinda hapa duniani,na huwa hawafanyi Jambo lolote mpaka washaurieni na majini wao,hakika hiyo ni kufuru kubwa kumwamini kiumbe wa Mwenyezi Mungu kuwa ndio anakuwezesha kufanikiwa Kwa mambo hapa duniani.
Na mwisho wa siku shetani/ hayo majini machafu ambayo yameacha kusudio la kuumbwa kwao na kuja kushirikiana na wanadamu,mwisho wa siku yatawakana na kuwaambia ukweli, tuangalie Aya ifuatayo;
(Na Shet'ani atasema itapo katwa hukumu: Hakika Mwenyezi Mungu alikuahidini ahadi ya kweli. Nami nalikuahidini; lakini sikukutimizieni. Na sikuwa na mamlaka juu yenu, isipo kuwa nilikuiteni, nanyi mkaniitikia. Basi msinilaumu mimi, bali jilaumuni wenyewe. Mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu. Hakika mimi nilikataa tangu zamani kunishirikisha na Mwenyezi Mungu. Hakika madhaalimu watakuwa na adhabu chungu).
14:22
Hakika kuna Aya nyingi Sana juu ya majini kuwapotosha wanadamu na kuwaingiza Motoni,kubwa ni kujua kwamba hakuna majini ambao wanatakiwa kushirikiana na binadamu kwani wao Wana Maisha Yao na wanadamu tuna yetu,ushirikiano wowote baina yetu ni upotovu na mwisho wake ni jehenamu.
Mambo mengi na Mda ni mchache!
Ni hayo Tu!
mbona bibiyako hanawee boya?Kuna muislamu hana majini?
Na Salman alipoelezea "Satanic Verses" zilizo ndani ya Quran alitangaziwa fatwa.Alipouojiwa Malcom X kwa nini aliachana na dini yake na kujiunga na uislam alijibu ya kwamba uislam unafafanua vema mambo yanayoonekana ja yasiyoonekana
Mungu hakuona aibu kuvizungumzia viumbe vyake viitwavyo majini kwenye Qur'an ati kwa kua havionekani,
Kumbukeni mkatae au mkubali majini yapo na hayajajiumba yenyewe yupo aliyeyafinyanga japo dini yenu inayaogopa pia haiyataji ama inayataja kwa wogawoga
Uislam pekee ndio dini ya haki inayoweza kukuelezea ni nini kinatokea kaboa mtu hajafa, akiwa anakata roho, akizikwa, maisha yake ya kaburini yapoje na siku ya ufufuo ni uislam pekee utayakuta haya dini nyingine zote ama hazijui ama zinaogopa
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Kafiri katika ubora wako Mungu akuongozeUISLAMU NI DINI YA SHEHETWAINIII.
Ngoja nimtafute Kipozeo anipe picture halisi ya peponiKumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo.
Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko;
((Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.))
51:56
Kwahiyo Majini na wanadamu waliumbwa Kwa lengo moja Tu la kumwabudu Mola wao na sio vinginevyo.
Lakini bahati mbaya Sana kuna baadhi ya waislamu ambao hushirikiana na majini katika mambo Yao,na hii sio waislamu Tu hata baadhi ya watu ambao sio waislamu hufanya hivyo pia,iwe Kwa kupiga ramli,kufanya miujiza huko kwenye nyumba za ibada na kadhalika.
Ila mazungumzo yangu Leo hapa nazungumza na waislamu, kuna baadhi ambao huwa na haya maruhani/majini ambayo wenyewe huyaita majini Waziri kwakuwa Tu yanawasaidia katika mambo Yao. Naomba niwaambie kuwa hakuna majini mazuri ambayo yanakaa mwilini mwa mtu hata kidogo,hayo ni mabaya na machafu,jini ambaye ameumbwa ili kumwabudu Mola wake hawezi kuja kufanya makazi katika mwili WA mtu kwakuwa hayo ni makosa na amekiuka sababu ya kuumbwa kwake kabisa.
Wanao mwabudu Mola wao wapo kwenye makazi Yao ya kijini na wanaendesha Maisha Yao huku wanamwabudu Mola wao,kwahiyo acheni kuwa watumwa WA hayo majini,kwani hakika mwisho wenu utakuwa sio mzuri.
Ebu tuangalie maongezi haya ya majini kama yalivyoelezwa katika Qur'an ;
((Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.))
72:6
Haya ni maongezi ya Majini baada ya kusikia Qur'an na kumwamini Mola wao,ndio wanahadithia kuwa kuna wanadamu wanaume ambao walikuwa wanatafuta hifadhi toka Kwa majini lakini matokeo yake wakazidishiwa madhambi. Na huo ndio ukweli kuna watu ambao wanaamini majini kuwa ndio watawalinda hapa duniani,na huwa hawafanyi Jambo lolote mpaka washaurieni na majini wao,hakika hiyo ni kufuru kubwa kumwamini kiumbe wa Mwenyezi Mungu kuwa ndio anakuwezesha kufanikiwa Kwa mambo hapa duniani.
Na mwisho wa siku shetani/ hayo majini machafu ambayo yameacha kusudio la kuumbwa kwao na kuja kushirikiana na wanadamu,mwisho wa siku yatawakana na kuwaambia ukweli, tuangalie Aya ifuatayo;
(Na Shet'ani atasema itapo katwa hukumu: Hakika Mwenyezi Mungu alikuahidini ahadi ya kweli. Nami nalikuahidini; lakini sikukutimizieni. Na sikuwa na mamlaka juu yenu, isipo kuwa nilikuiteni, nanyi mkaniitikia. Basi msinilaumu mimi, bali jilaumuni wenyewe. Mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu. Hakika mimi nilikataa tangu zamani kunishirikisha na Mwenyezi Mungu. Hakika madhaalimu watakuwa na adhabu chungu).
14:22
Hakika kuna Aya nyingi Sana juu ya majini kuwapotosha wanadamu na kuwaingiza Motoni,kubwa ni kujua kwamba hakuna majini ambao wanatakiwa kushirikiana na binadamu kwani wao Wana Maisha Yao na wanadamu tuna yetu,ushirikiano wowote baina yetu ni upotovu na mwisho wake ni jehenamu.
Mambo mengi na Mda ni mchache!
Ni hayo Tu!
Ndiyo maana nilianza kwa kusema hii dunia imejaa udanganyifu mwingi sana. Na wewe mleta mada ni miongoni mwa hao WALIODANGANYWA na KUPOTOSHWA.Hakuna Malaika waasi mkuu futa hiyo dhana katika kichwa fasta
Malaika ni viumbe Safi Sana WA Mwenyezi Mungu na ndio wasaidizi wake,hawezi kuwa na viumbe wa ovyo.
Ingia darasani Kwanza ndo uje na hizo hoja zako
Shukrani
Watu wanafunga ng'ombe..mbuzi..kuku n.k wao wanafuga majini..no wonder wengi wanamtindio wa ubongo.Sikua naamini kwenye haya mavitu hadi nilipoishi Zanzibar kipindi fulani, niliyashuhudia, kile kisiwa hakuna ambaye hajakumbana na matukio ya majini, wanayafuga yaani ndio zao kote. Halafu ndio shughuli za popote walipo waislamu, kuanzia Mombasa, Pwani, nenda mpaka Tanga katiza mpaka kwa Wapemba.
Baadhi ya Waislamu hawalijui hili kiundani ndo hao unaowaona humu wakibisha.Sikua naamini kwenye haya mavitu hadi nilipoishi Zanzibar kipindi fulani, niliyashuhudia, kile kisiwa hakuna ambaye hajakumbana na matukio ya majini, wanayafuga yaani ndio zao kote. Halafu ndio shughuli za popote walipo waislamu, kuanzia Mombasa, Pwani, nenda mpaka Tanga katiza mpaka kwa Wapemba.
khee! Yani jini unasema mshkaji wako? wacha niendelee kuitwa kafiri tu, ndo maana mnajilipua ovyoMimi nna Rafiki yangu wa kijini, ila yeye Ni wa ibada Sana, na hakai mwilini mwangu, ila huwa anakuja kwa umbo la kibidamu baadae anatoweka, Ni mshakaji tunapiga story Sana, kila alhamisi ndio inakuwa siku yake yakuja kibindamu ,na ijumaa, nimeegundua kumbe chakula chao Ni mifupa pia,na mabaki ya vyakula walioacha binadamu baadhi
Wasabato na wakatoliki wapo sawa?Hafu wenyewe kwa wenyewe mnapingana wengini ni sawa wengine sio sawa hafu wote mnatumia kitabu kimoja