Waislamu badilikeni

Well said mkuu
 
Nadhani na nyinyi mna mtazamo potofu na hamuwaelewi Kiitikadi.
1. Kufuzu Kwa maisha ya muislam sio kuwa mimali na Shani za kidunia. Mali, watoto, dhahabu zinatakiwa zikupelekee kupata akhera yako na sio raha za muda mchache za kidunia.
Kwa wakristo nadhani ni opposite, ndio maana wanawashangaa waislam kujenga msikitini badala ya hospital.
2. Mfumo wa elimu ya Kiislam ukienda deep hutaamini macho yako. Mnajifunika Kwa hizi PhD fake za divinity mnajiona mna elimu kubwa.

Kaangalie volumes na volumes za vitabu vya akina Al Ghazali, Ibn Taymia, Imam Suyyut, Ibn Kathir, An nawawi, At tabar kitabu kimoja kina volumes zaidi ya ishirini zilizoshiba!

Kwa hiyo Kila watu wana elimu Yao usiione yako Bora. Aliyesoma Engineering na aliyesoma Economics wote wasomi ingawa wamesoma vitu tofauti.

Mwisho wa yote tutajua mbele ya Muumba nani kapatia nani kakosea.
Hatuhitaji kuwa kama nyinyi, hatuna Cha kujifunza kwenu abadani! Hakuna muislam anayemuonea wivu kafiri!
 
Asili ya ukweli, huwa unauma.

Viongozi wetu wa kiislam wana matatizo kichwani.
 
Tatizo ni kuwa ukiweka msomi na akaisoma vizuri na kuielewa Quran, basi kama kweli anataka pepo atauacha Uislam. They say islam without lies, dies; and if you read the Quran and Understand, you become apostate. Kwani imegungulika Quran imejaa Uongo mtupu na pia Muarabu anapotafsiri Quran kwenda lugha nyingine anapotosha maana halisi ili aendelee kuwapumbaza jamii ambao hawajui kiarabu
 
Usome Phd ili ukusanye sadaka😅😅😅.

Hao BAKWATA kila muislamu anajisimamia anajua mda wa swalah ,hata haki zake binafsi sio matamko wa wajanja wachache wenye elimu za kupewa.
 
Usome Phd ili ukusanye sadaka😅😅😅.

Hao BAKWATA kila muislamu anajisamamia anajua mda wa swalah ,hata haki zake binafsi sio matamko wa wajanja wachache wenye elimu za kupewa.
sawa tumekuelewa shehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…