Waionaje hii picha

BPM

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,760
Reaction score
576
Waionaje hii picha
 

Attachments

  • 1412698427170.jpg
    132.8 KB · Views: 5,226
Ndio maana ajali haziishi kumbe wanajihudumia wenyewe.. mara oooh dereva maamuzi yako ndio usalama wetu...sasa hapo watu si wanaendesha starlet kama fast jet tuu na hakuna torch
 
Ama kweli simba hali majani hula nyama mbichi tuu na huwo ni muda mzuri wa chakula
 
....

.....inafanana na ile kitu ya pale magugu !!!


 
Sijui chaka la wapi hilo, wameacha barabara kabisa
 
POLISI WAFUTWA KAZI KAGERA: Polisi 3 wamefukuzwa kazi kwa kupiga picha inayokiuka maadili na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii, RPC H. Mwaibambe asema leo.

Mwananchi Breaking news👆
 
Hawa nao je
 

Attachments

  • 1412957978719.jpg
    100.4 KB · Views: 289
  • 1412958037816.jpg
    70.5 KB · Views: 281
  • 1412958077453.jpg
    53 KB · Views: 263
safari mmewaamulia polis kweli.
Utafikir wamewaulia wazaz wenu
 
Haya ndo matatizo ya kuajiri watu wenye infinity loop ktk jeshi la polisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…