Wahuni tunapendwa sana na wanawake

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
332
Reaction score
948
Wakuu nimeamini tunapendwa sana na mademu sisi wahuni, wanaume ambao hatufagilii pigo za kuendeshwa na mademu tunapendwa mno. Life style yangu la kihuni limenipatia mademu kibao,

Mimi uwa sitongozi mara mbili demu akizingua anapita kushoto sinaga kulazimisha, Nimefanikiwa kula pisi zaidi ya 100 tena pisi kali. Mademu wengi wazuri wanatupenda, nakwambia ukiwa na misimamo ya kihuni haukubali kuendeshwa akili na demu utawala hadi uwachoke.

Kwa kumalizia wahuni peponi
 
You right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…