Wahudumu wanahitajika

Wahudumu wanahitajika

ngonyoki

Member
Joined
May 20, 2012
Posts
43
Reaction score
8
Wahudumu wa baa wanahitajika.

Wahudumu wenye uzoefu kazi ya kuhudumia baa ya kisasa wahitajika. Mwombaji awe na angalao elimu ya kidato nne na kuendelea, awe mchangamfu, nathifu na mwenye uwezo wa kuhudumia club. Sehemu ya kazi ni Dar es salaam. Piga simu nambari 0754379190 kwa maelekezo zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom