Uongozi wa millennium hotel unatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo huduma kwa wateja nafasi moja na mpishi nafasi moja kituo cha kazi ni BUTIAMA centre fika moja kwa moja au piga namba hizi 0768 594 351 wasichana watapewa kipaumbele
Hata Mafia Island kuna sehem inaitwa BUTIAMA.
Sasa sijui jamaa anamaana gani kuweka jina la chukuchuku
Nimeipenda hii:Wasichana watapewa kipaumbele,mhhh,haya