Wahitimu wa Tunduma

miss d

Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Wahitimu wa ngazi ya cheti, diploma na degree kwa fani za biashara, mipango kazi na maendeleo ya jamii mnaopatikana Tunduma na maeneo ya jirani naomba tuwasiliane nina wazo la kuwa na kikundi kitakachohusika na mambo ya ujasiriamali na maendeleo ya jamii yetu.

Hii ni katika kujikwamua na suala hili la ukosefu wa ajira, nina mawazo kabambe juu ya hili pia nina nia thabiti.

Mawasiliano:
0762 774 900
mtigad@yahoo.com

Nawasilisha.
 
Nipo Tunduma, upo sehemu gani tupeane maujanja.
 
Me nimepiga BAED lakini nimesoma Human Resource Management,na nyumbani ni Mbalizi vip nafaa?
 
well done miss d ngoja nikusindikize na kibao cha ni wa pili Staki Kazi..
 
Last edited by a moderator:
Mbalizi kama mbali hivi ila tuwasiliane tuone tunafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…