meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
MDOMO NYUMBA YA MANENO.
Hata kama unataka kusema uongo changanya na ukweli kidogo.
NI TETESI butu haina uzito wa kuikimbiza JF kwa ajili ya mjadala.
MDOMO NYUMBA YA MANENO.
Hata kama unataka kusema uongo changanya na ukweli kidogo.
NI TETESI butu haina uzito wa kuikimbiza JF kwa ajili ya mjadala.
ni mazoea yao kuficha ukweli!miradi mbalimbali ya halmashauri imekwama kwa kuwa fedha hazijaletwa kwa wakati.nitoe mfano,fedha ya health busket fund imeletwa halmashauri kwa quarter moja tu na sasa tuko quarter ya tatu!unategemea mipango ya halmashauri itatekelezwa kama ilivyopangwa?kwa nini serikali isikiri hili waziwazi?We mama porojo acha unafiki na uvivu wa kufikiria; Tafadhali kwenye issues za msingi usilete porojo zako; Si lazima uwe na degree kufahamu ni jinsi gani Halmashauri zetu zilivyo hoi kifedha; Kwa kukusaidia kama hufanyi kazi halmashauri, muulize ndugu yako, jirani yako, au hata rafiki yako anayefanya kazi halmashauri mojawapo akupe ukweli wa mambo, sio kutuletea hapa ushabiki wa ------ tu.
USa,Uk n.kMkuu usipende kuokota maneno mitaani na kuyaleta JF ukiambiwa uwataje hao wahisani.
Kama sisi wenye nchi tumeshindwa kuchangia kwa nini wafadhili wachangie?
USa,Uk n.k
Tupe chanzo.
chanzo ni matangazo kupitia TBC yanayosema ''KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"
Ha ha ha haaaaaa,kweli jamiiforums kiboko
chanzo ni matangazo kupitia TBC yanayosema ''KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"
mdomo nyumba ya maneno.
Hata kama unataka kusema uongo changanya na ukweli kidogo.
Ni tetesi butu haina uzito wa kuikimbiza jf kwa ajili ya mjadala.
Kuna tetesi kuwa wahisani wamegoma kutoa hela hivyo halmashauri nyingi ziko katika wakati mgumu wa kutekeleza mipango yake iliyojipangia kwa mwaka 2012/2013.
Kama tetesi hizi ni za kweli basi tunawajibika kuelimisha serikali yetu mbadala wa kutegemea wahisani.
Mfumo CAMERON